Recent content by chizzle.com

  1. chizzle.com

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Hotuba saafi kabisaa , haina ahadi isiyotekelezeka kama zinazolopokwa na mgombea wa chama flani
  2. chizzle.com

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Regina Lowassa atikisa Mbeya Mjini

    Huyu mama atakuwa anampa changamoto sana mh rais lowasa , maana anaonekana ni jembe
  3. chizzle.com

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Mwenye Uzi huu , ndo wale wale ambao elimu , elimu , elimu viweze kuwafumbua fikra zao , nyambafu unadhani electronic inaendeshwa kwa nini ? Ni mwendo wa logic gate ,'kama ni ON iwe hivo na sio OFF
  4. chizzle.com

    JamiiForums Tanzania NEC: Idadi ya Wapiga Kura bara ni 22,751,292 na Zanzibar ni 503,193

    Mheshimiwa alijichanganya hapo mwenyewe , wapiga kura million sita hv wote ni kura zilizokuwa zimeandaliwa na CCM , na ni kama idadi ya wanachama wao , ko kura hewa za wana CCM zipo constant , jumlisha zile zitakazopigwa Siku ya uchaguzi ....kweli bao la mkono tumelishtukia
  5. chizzle.com

    JamiiForums Tanzania Wasichokifahamu NEC

    Kama sheria inaongelea mita mia mbili , basi tutaiheshimu sheria na kukaa mita mia mbili
  6. chizzle.com

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Tanzania mpya chini ya Lowassa!

    Muandika Uzi huu , Nina jiuliza personality yako + thinking ability yako Ndo maana tunasema elimu , elimu , elimu ....ili watu dizain yako mkombolewe
  7. chizzle.com

    JamiiForums Tanzania Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    Kesho tutasikia mengine tena , mwaka mtamu huuu duuu
  8. chizzle.com

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Lowassa afanya kufuru Iringa Mjini

    Mama ana influence kubwa kama na yeye yupo kwenye kinyang'anyiro cha urais ....hakika fisiemu out 25 Oct 2015
  9. chizzle.com

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Lowassa ni kuendeleza utawala wa Kikwete

    Kuwa na mtazamo mpya , huwezi fananisha uwezo alionao mzee lowasaa na ule wa Kikwete kifedha alipokiwa anaingia kwa ikulu
Back
Top Bottom