Recent content by Chizbot

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya Marekani ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ni ya hovyo

    Hufatilii media ,Israel alishawahi kuuupiga mfumo wa s-300 sryia alirusha makombora yaan land to air missile mfumo wa ulinzi wa s-300 ulipodect makombora Israel akarusha fighter jet zake zikashambulia mfumo huo mpaka akauharibu mpaka wachambuzi wakashangaa Israel kawezaje kupenya na kuishinda...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya prado Tx na landcruiser V8 ninunue gari gani?

    naona mpaka YouTube UNA nyimbo we ms.nge kumbe na WE unaimba? Anyway hongera kwa kumiliki helaaaaaaa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jamani nimetapeliwa nichukue hatua gani?

    niunganishe na Huyo mtaalamu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jamani nimetapeliwa nichukue hatua gani?

    niunganishe na Huyo mtaalam
  5. C

    JamiiForums Tanzania Jamani nimetapeliwa nichukue hatua gani?

    Asee unanitisha kaka
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jamani nimetapeliwa nichukue hatua gani?

    Duh mkuu kuwa serious
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jamani nimetapeliwa nichukue hatua gani?

    Habarini wakuu, Wakuu nimetapeliwa au niseme kwa lugha nyingine nimedhulumiwa na jamaa yangu, iko hivi awali huyu jamaa alikuja kwangu akidai nimwazimishe computer yangu akadai kuna kazi anaenda kuifanya nikampa two days later akaja kwangu tena akadai vibaka wamemkaba wamemnyang'anya pesa yote...
Back
Top Bottom