Recent content by CHITWE

  1. C

    Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

    kwenda zako nani kakwambia yanga tunaogopa sisimizi kumkanyaga?
  2. C

    Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

    wana simba wote mwakani yanga ita waajiri kubeba viatu vyao wakati wa kwenda nje ya nchi kwa ajiri ya game au siyo?
  3. C

    Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

    hata mimi nataka tufungwe na azam hata 2,1
  4. C

    VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

    jamani naombeni mnijuze matokeo hapo
  5. C

    8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

    Yaani leo ni vita kali sana uwanja wa taifa ila Yanga itashinda 2:0
  6. C

    Bidada akamatwaa baada ya kugeuza chumba cha gesti kuwa sehemu yake ya kutoa huduma ya uroda

    Kwahiyo wewe umefurahia tabia hiyo au ndo walewale tu
  7. C

    Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu

    jamani leo wanamsimbazi watatusumbua sana mtaani ila wakija kwangu nitawapiga kwa fimbo ya "Mbeya city"
  8. C

    Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu

    Tena mimi ninaomba majanga yaendelee hapo msimbazi mpaka yesu atakaporudi
Back
Top Bottom