Recent content by Chisotta

  1. C

    JamiiForums Tanzania Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

    Hutaki kuona ufalme wa Mungu? Subiri akuchukue mwenyewe, usiondoe uhai wako mwenyewe, ni dhambi. Imeandikwa, usiue. Utakosa nafasi ya kutubu ndugu. Usithubutu. Ukisoma ujumbe huu wa kwangu, acha mawazo hayo, ishi kwa mataini ya kuiɓgia ktk mbingu mpyaaaa. Amen.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jackline wolper kaachwa tena?

    Bratt alimuacha Jeniffa, nae Bratt akaachwa na Anjelina, cha ajabu nini? Jacklin atampata aliyepangiwa na Mungu wake.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada huu ni ugonjwa gani

    Wengi wameanza kupata vipele hivyo. Abadilishe aina ya mafuta ya kula. Wakina mama wengine wanapika chapati laini, tamu kweli, lakini mafuta wanayotumia hmmmmmm. Hata samaki wa kukaanga, mkaange wenyewe, chapati mpike wenyewe, hali ni mbaya/ngumu, dunia umevaa bukta, mjiaangalie sana. Vipele...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    Namba ya simu ya nwisho haisomeki.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nang'atuka kwani ualimu siyo baba yangu wala mama yangu

    Hata kwa kuuza karanga utatoka, sio mshahara wa ualimu, dooo.
Back
Top Bottom