Recent content by chipwepwe junior

  1. chipwepwe junior

    Sallam athibitisha Harmonize kujiondoa WCB

    Swadakta; kwa asiejua watu wa huku kusini atasema unalopoka ila mm pia mmakonde natoa ushuhuda ni kweli watu wa huku wana ushikaji fake km hawana wanajishusha utawaonea huruma ila siku akifanikiwa nakuambia huruma yako itakuponza si tuna ujanja wa kukulupuka na kujiona zaidi kwa Tanzania hii...
  2. chipwepwe junior

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo unaitwa sukari na chai ameimba afande sele yeyote mwenye nao anisaidie nimeutafuta sana bila mafanikio
  3. chipwepwe junior

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu kioo salute mingi mingi kwako ila bado sijapata nyimbo hizi; kwenye tv na umaarufu za g_solo na miss bongo wa jaji hakim niliomba umu mwenye nazo aniwekee tafadhali
  4. chipwepwe junior

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ndugu zangu wa mbeya na iringa mana huu wimbo unapatikana sana kwenu
  5. chipwepwe junior

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu ahsante kwa hizi ngoma Ila bado zngne 3 mbili za g-solo na moja ya jaji hakim
  6. chipwepwe junior

    Hadithi kali Faili namba 25

    Mumekumbukwa uku wasomi mkuje
  7. chipwepwe junior

    Natafta wimbo wa Sanura

    Mmh huu wimbo na mm nimeshindwa kuupata
  8. chipwepwe junior

    Riwaya: Kiguu na njia

    Nimeipenda hii hadithi hongera mwandishi
  9. chipwepwe junior

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo wa ; Emmanuel mgogo - kama si bwana Anisaidie.
  10. chipwepwe junior

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu kuna nyimbo nazitafuta mtandaoni sizipati km kuna mmoja wetu anazo anisaidie, 1; deso - my sweat heart 2: t.o.t band - sweat baby Wikiendi itakua mzuri nikizipata.
  11. chipwepwe junior

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba nyimbo Fulani za zamani 1: g_solo - kwenye tv 2; g_solo - umaarufu 3: jaji hakim - miss bongo Kioo, idimi, msaada tafadhali
Back
Top Bottom