Recent content by CHIPASO

  1. CHIPASO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dooh, mkeka ulikuwa umenyooka sana aisee
  2. CHIPASO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu mkeka naona kama umetoa mkuu, au sio
  3. CHIPASO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata mimi nimejiuliza mkuu, kwamba kindege kiliruka mpaka ngapi hadi ashinde million 40 kwa stake ya 100 Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  4. CHIPASO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dooh, naona mamelodi ndio mchawi leo Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  5. CHIPASO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii ni pesa mkuu, weka mzigo hapo Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  6. CHIPASO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee baba mbona uwo mkeka umepiga tiki mechi zote wakati Brentford jana game iliisha moja moja Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  7. CHIPASO

    Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

    Mbona kama hapa ni polisi pale Moshi mkuu Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  8. CHIPASO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aiseee, we kweli ni Greatest Of All Time Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  9. CHIPASO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anaitwa bwana Othman Dan fodio, jamaa matreni yake yalikuwa ya maana kweli kweli, sijui kapotelea wapi yule mwamba Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  10. CHIPASO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Elfsborg nae anakandwa eti, ila sweden
  11. CHIPASO

    Vimbwanga katika Biashara

    Mkuu nakucheki PM naona umefunga, kuna ishu nilikuwa nataka unisaidie. Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  12. CHIPASO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu naomba uwe unatuma na code za sportybet, maana naona wadau wengi wapo huko Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  13. CHIPASO

    Naombeni ushauri nimewekewa milioni 500 na wazazi wangu

    Mzee baba kumbe Lambo bado ipo, kitambo sana hayo maeneo
  14. CHIPASO

    Natafuta ajira yoyote ndugu zangu betting imenishinda

    Hii inachezwaje mkuu, maelezo kidogo tupate pakuanzia
Back
Top Bottom