Recent content by Chiomaizwe

  1. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Ahsante sana kwa ushauri wako you sound exactly like my brain hapo bold that shall be the last thing ever to be done by me........................am too old for this. Nimependa zaid umenipa conclusive remark kwamba Ishould file divorce before anything. I will come back to you shortly I gotta...
  2. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Nawaombeni sana nitakuja kujibu hoja zenu mida ya usiku kuna mambo yameingiliana hivyo sitoweza kuzipitia na kuzijibu kwa ufasaha. Ahsanteni sana kwa kila alotoa mchango wake. Ila nimependa na at least nimepata mwanga mzuri
  3. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    You have said it all correct...............no need to rush ila sasa mtego uko hapa................ life is not certain my dear...................I may say let me wait, but what if tomorrow wont come? Na je kwa umri huu do I need to act like a virgin girl? kwamba niwe na kihere here cha ndoa?? I...
  4. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Its definitely true that every woman needs happiness, love, care and respect. Cross puzzle comes when a new man pops in. Huwez kujua uchague lipi. Hasa ukikumbua ule msemo usemao umekimbilia kulia ukakuta kushoto kumebomoka........... Nimejiuliza maswali mengi sana nikaishia kucheka manake...
  5. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Hapa ndipo na mie panapo nipa mashaka yaani nataman ningekuwa naweza kuonyesha mawasiliano yangu na yeye hapa ila basi tu siwez kufanya hivyo. Mie najua kila jambo huwa lina muda wake wa kukua, na sasa sitaki kukimbizwa manake huo mguu wa kati mbona sio ishu sana ikiwa hakuna mapenzi ya kweli...
  6. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Huu ndo mwiba wa kijidunga. DB kiukweli mpaka sasa japo kanitumia na iyo Email niwaandikie ofsin kwao kwamba namuhitaj lakni sijaweza kufanya ivyo manake sijielewei to be frank. Pia kanipa adi hadi namba ya mwanae nimpigie simu sijui nisalimie blah blah nyingiii nikasema nitampigia though bado...
  7. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Ahsante sana ndugu kwa usahuri wako huu. Mie lakini bado sijampa DB go ahead manake pia wanangu sijui nitawaambia nini jamani
  8. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Ndugu yangu ninahitaj faraja jamani, hebu niambie for 5 yrs mtu amekuwa nje, na katika miaka iyo amewah kurudi nchini kuonana na mie mara 2 tu na kwa maiaka 3 hana mawasiliano na mie kabisaa. Ivi kweli hata yale mahaitaj ya kimwili pesa zitanisaidia nini? Nina fanya kazi sehemu nzuri sana...
  9. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Iko hivi DB anaish nje na anafanyia kazi huko, sasa ili kazini kwao aweze kuomba ruhusa ni pamoja na mimi kuandika email kuonyesha kwamba ni mtu wangu na ninamuhitaj kwa haraka sana. Kwa wao wanawake wanathaminiwa sana iwapo wataonyesha concern yyte ile na ukumbuke ni recently tu katoka huku
  10. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Nitakuwa sijaeleweka kiaandishi ndugu yangu. Sisi tunao watoto wawili na tulianza kuzaa tukiwa chuoni, mpaka sasa ni hao hao wawili. Alipoondoka kwenda masomon aliniacha na ujauzito wa mtoto wa pili ukiwa unakaribia kwenye term
  11. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Kwani ndugu yangu kinachosababisha ndoa isiwepo ni kukosekana mawasiliano peke yake? Mie mpaka sasa nasema ninandoa manake tayari nilishaapa hasa ndoa za kikristo hazinaga kuvunjika.
  12. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Ukweli ni kwamba nina mpenda kwasabbu sina jinsi. Hii inatokana na ukweli kwamba sitaki kuwaumiza wanangu kwa mimi kuwa mbinafsi. Lakin kwasasa hapa ninategwa zaidi na huyu DB
  13. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Sawa ndugu lakini sasa je nitaishije mie ukweli upo wakati kabisa natamani na mimi kutimiziwa haja zangu za kimwili. Nimevumilia hadi nimekuwa kama kikongwe manake kila leo mara mgongo, unauma mara akili aikai tu sawa yaani nipo nipo tu sijielewi. Nimejaribu kumtafuta mshauri nasaha anishauri...
  14. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Sasa hebu niambie nitawambiaje wanangu endapo nitajicommit kwa mtu mwingine? Wanangu ni wakubwa kiasi cha kujua ishu zinaendaje, na hapa nilipo nalazimika kumpenda tu nikiwa na imani kwamba atarudi. Nimekuja kujikuta niliachwa na 34 leo hii nina 40 tayari bado ndoa yangu ni ya makaratasi tuu...
  15. C

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    Huyu wifi yangu hatuongei nae kwasasa manake alisema kabisa kwamba kwasasa kaka yetu ameoa mzungu na siku akija nitakuita uje eapoti kumuona aliyasema hayo kwa jeuri sana nikakasirika na kuamua kufuta mawasiliano yangu na yeye kabisa
Back
Top Bottom