Umesema kweli Mavunde; Mh. Rais anatuhimiza kuunga mkono rasilimali zisiporwe na mabeberu lakini CHADEMA kupitia Lissu wanatetea wezi wa rasilimali zetu. Kuna uzalendo hapo jamani ktk vyama hivyo?
Ni jambo la heshima sana Muungano wa Tanfanyika na Zanzibar kufikisha miaka 54 ukiwa imara na ambao ni wa mfano duniani.
Faida za Muungano huu zipo nyingi za ktk nyanja za kisiasa, kijamii, kiuchumi na kiulinzi.
Hongereni watanzania wote kwa maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wetu...
Wanajukwaa mtakumbuka tangu Mbowe alipobadili gia angani Julai 2015 CHADEMA kumeingia ganzi kwa kushindwa kujigamba mbele za watu tena kwamba ni chama kinachopiga vita ufisadi na ni chama cha wanyonge.
Sasa CHADEMA kimebaki kusubiri kudandia hoja badala ya kufanya siasa kisayansi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.