Majamaaa, meskia skia kwa mbali sana kua hawa majamaa wameanza kuita. So kila mwenye mdau aliye kua awasiliane kama hilo limetokea kisha tupate habari kama kuna habari kama hyo huko kwa roots!
Na ndio watao endelea kwenda hao mjomba so comment yako hapa haina maana kabisa coz wanaotangaza ni baba zao na wliobadilisha hayo hapo ni baba zao hao hao. Kwa hili waliozuiliwa ni watoto wa MBWA ambao walikua wanapata nafac hzo kwa bahati mbaya! So hupaswi kufrah kwa hili kwan ndo wameua...
Kimsingi inatia huruma na mara nyingine hasira sana kuishi kwa this country! Huu waweza kua ufinyu wa upeo wa viongozi wa nchi, kisha ukaamishiwa kwa wananchi tuliokua wengi wenye njaa kali kiasi hata muda wa kuweza kufikiria nn kinafanyika katika nchi yetu hatujabakiziwa!
Kimsingi me naogopa...

Sana jamaa! Majamaa wengine ni kama hua hawajui hilo wanakua wanadhani graduates ni wao tu, so wakishaomba wakakosa wanaishia hapo kuconclude hakukua na kazi hapo. Kuna mwingine analia na ghalama na stationary c aache kuomba! ila kimsing ni nzuri kuomba wasikuite coz wakikuita hutashangaaa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.