Recent content by ching'wa

  1. C

    Mashine ya kufyatua matofali ya kuchoma

    Ndio tuko kwenye utafiti na mawazo Yako ni Sehemu muhimu ya utafiti. Ukweli ni kwamba mpaka sasa tofali za kuchoma ndizo Zinatumika Sana kwenye majengo ya wananchi wa kawaida, taasisi na hata serikalini. Shida kubwa sio ubora bali kiwango chake. Zinafyatuliwa kienyeji na zinachomwa kienyeji...
  2. C

    Ni wapi nitapata nguo za mtumba kwa bei nafuu Dar es Salaam?

    Mimi mahitaji ni ballow za viatu vya mitumba
  3. C

    Ni wapi nitapata nguo za mtumba kwa bei nafuu Dar es Salaam?

    Mimi mahitaji yangu ni ballow za viatu vya mitumba
  4. C

    Ni wapi nitapata nguo za mtumba kwa bei nafuu Dar es Salaam?

    Unapatikana Kwa mawasiliano gani
  5. C

    Mashine ya kufyatua matofali ya kuchoma

    Nikiwa mdogo miaka ya tisini niliona mashine hiyo kwambali PERAMIHO Songea kwenye shirika la Benedictine Father's. Nahisi ilikuwa ya kutengenezwa kwenye karakana za pale. So sikujali wakati huo sasa ndio naihitaji. Kama wapo wenyeji wa PERAMIHO Songea watujuzepia kama bado kile kiwanda kipo...
  6. C

    Mashine ya kufyatua matofali ya kuchoma

    Ahsante sana Kwa kujali ombi langu. Kwamba hizi zinapatikana SA na ili upate mpaka uagize kutoka huko? Pia naomba kujua Kwa chenji yetu ya bongo ni sawa na shida. NGAPI?
  7. C

    Mashine ya kufyatua matofali ya kuchoma

    Hata za kizamani muhimu isiwe ya Ile KIBAO na mtu
  8. C

    Mashine ya kufyatua matofali ya kuchoma

    Niwazo jema pia nimepokea. Japo najua hizo mashine zipo zinaparikana wapi na Kwa bei gani ndio natafuta nisaidieni
  9. C

    Mashine ya kufyatua matofali ya kuchoma

    Ndugu naomba yeyote anaejua mashine za kufyatua matofali matofali ya udongo Kwa Mfumo wa kisasa anielekeze na bei yake. Mpaka sasa tofali za udongo za kuchoma ndzo zinatumika sana kwenye ujenzi na Mfumo wa ufyatuaji wake umeendelea Kuwa wa kienyeji sana na kuzifanya kukosa ubora.
  10. C

    Njia rahisi ya kuandaa bajeti yako

    Nyuzi za kufikirisha zitachangiwa na nani wakati watu wanataka matokeo bila kufikiri na kutoa jasho
Back
Top Bottom