Recent content by Chinengu

  1. Chinengu

    Ndugu yangu anauza banda lake

    Namba kwa ajiri ya biaahara ipo mkuu
  2. Chinengu

    Ndugu yangu anauza banda lake

    Nimekuelewa,ila nilicho maanisha ni kwamba hilo eneo linafikika kwa urahisi nikiwa na maana kuwa hata kama una gari unafika nayo bila shida
  3. Chinengu

    Ndugu yangu anauza banda lake

    Kwa barabara ya mtwara-Dar,ukitokea magomen ukifika kituo kinaitwa pacha ya mbae ndio unashuka hapo na kuifata hiyo Barabara ya mbae
  4. Chinengu

    Ndugu yangu anauza banda lake

    Kama unapafahamu mbae ndio eneo lenyewe ndugu
  5. Chinengu

    Ndugu yangu anauza banda lake

    Ni kweli,kwa biashara ya korosho kiukweli ni bahati nasibu,ila huyu yeye anataka angalau afuge kuku wa mayai na kuwekeza kwenye kilimo cha muhogo Ila mtaji ndio hasa tatizo ndio maana kaamua hivyo
  6. Chinengu

    Ndugu yangu anauza banda lake

    Ni kweli kwa uuzaji huu ni sawa na kutupa lakini atafanyaje na hari hii,na vile waswahili husema kimfaacho mtu chake,huko bank hukopeshwi hadi uwe na biashara ilo simama hasa.
  7. Chinengu

    Ndugu yangu anauza banda lake

    Vipi mbona unaguna?
  8. Chinengu

    Ndugu yangu anauza banda lake

    Salaam kwenu,husika kichwa cha habari hapo juu. Kutokana na hari halisi ya maisha yanavyokwenda,nimeona niwashirikishe hili sana jf wenzangu wa Mtwara ili tu kupata msaada wenu. Kuna ndugu yangu amemaliza saut mwaka juzi,bahati nzuri alipata mkopo,baada ya kujibana akaamua kununua kipande...
  9. Chinengu

    Siku hizi wanaume ndio wanaolia msibani

    Hii mada itakuwa inamuhusu rais wa wanaume wa :DDar
  10. Chinengu

    Utatuzi wa ajira Tanzania kwa vijana

    Kwahiyo huo utatuzi ni upi hasa?
  11. Chinengu

    Sababu za kitaalamu juu ya korosho zilizorudishwa na serikali kwa wakulima

    Anazingua huyo mtoa mada,kwanza korosho nyingi iliyotudishwa ni ya tandahimba,wilaya ambayo kiukweli korosho yake ni bora kwa maana kwanza inawahi tofauti na ya hapa newala ambako kiasi Fulani inakutana na msimu wa mvua na kupunguza ubora ila kwakuwa hapa mbunge wetu ni kijani na wale wenzetu...
  12. Chinengu

    Tofauti ya bei ya vyakula kipindi cha Kikwete na sasa Magufuli. Kupungua huku kwa bei ya chakula Rais Magufuli anahitaji hongera

    We jamaa ni bweha kweli kweli,kwenye huo ulinganisho wako bado hujamalizia sema pia kwamba, Kipind cha Jk,kulikuwa na mafisadi,watumishi hewa,mikopo vyuoni,ajira mpya kila mwaka,viongozi kusafiri nje ya nchi,sikukuu za kitaifa,kupanda madaraja watumishi ,labda na makusanyo madogo ya...
  13. Chinengu

    Upasuaji bila ridhaa inaruhusiwa??

    Dharura gani ya kutotaarifiwa mgonjwa anaejitambua?
  14. Chinengu

    Upasuaji bila ridhaa inaruhusiwa??

    Hatari sana,kuna kila dalili za madaktari kutajirika kupitia wagonjwa
Back
Top Bottom