hjayhals
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 768
- 558
1. Mahindi kipindi cha JK kilo tsh1200 sasa JPM tsh1000
2. Mchele kipindi cha JK kilo tsh 2000 hadi 2400 JPM tsh1400 hadi 1800
3. Maharage kipindi cha JK tsh 2400 hadi 3000 sasa kipindi cha JPM tsh 1600 hadi 2000
4. Bei ya nyama na samaki bado haijabadilika
5. Bei ya sukari imebakia katika tsh 2400 tangu ilipo poromoka mwaka 2016 na chumvi imebakia ile ile
Licha ya hujuma kwenye mafuta ya kupikia bado Serikali imepamban na bei kubakia ya kipindi cha JK.
MY TAKE
Kama hali itaendelea hivi basi ni 2020 JPM atapata ushindi ambao haujawahi kuonekana kwa eneo la maziwa makuu
Na kura msiibe, mfanye uchaguzi kuwa huru na haki halafu tukutane kwenye matokeo.