Binafsi nikushauri baki ulee watoto wako Mimi ukija kwangu sitakiwa tiyari kulipa ada zao matibabu na vingine ungekuwa na mtoto mmoja ningekuita tungeenda zetu Zenji Zenji kula upepo siku Saba Tano flani Sasa watoto wanne hata tukiwa faragha utakuwa unawawaza watoto wako lea watoto mchane live...
Bado sana kijana wangu kama unampenda mchumba wako usimuahidi kuhusu hayo mambo ukifuatilia ndoa kumi 10 kati ya 7 zilivunjika baada ya mwanamke kufunguliwa duka Sasa suala la kuendeleza biashara likamuingiza mke majaribuni tuchukulie ww unaamka asubuhi unarud join mke naye hivyo hivyo siku...
Kama umri ungerudi nyuma ningepata miti Ekari Tano kwa gharama ndogo sana Leo hii ningekuwa na pesa nzuri nimeanza kupanda miti nikiwa na matumizi makubwa kipindi hicho nilikuwa peke yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.