Uongozi wa Dawasa Ubungo mnachowafanyia wananchi wa Mbezi Tabata /Msumi ingekuwa enzi za mzee John pombe ni uhujumu uchumi
Kwa nini mnataka muwaunganishie wananchi maji kwa 150,000?
Kwani ninyi hamlipwi mshahara? Au ndiyo mnavyotumwa na wapizani kuwaudhi wananchi mnafikiri mtafanikiwa...
Nchi hii maudhi yako mengi sana yaani
Wewe angalia utendaji wa polisi kwa sasa baada ya mama kukataza kubambikia watu kesi sasa hivi polisi wote wamehamia kuonea na kulazimisha makosa ya Barabarani
Kwenye Barabara yaani kukagua magari utawaona kila baada ya km1 ukiwaambia kwenda kulinda raia...
Trafic police Tanzania kwa sasa wamegeuza deal kuvizia magari mbalimbali barabarani
Waziri husika angalia kwa jicho la huruma kwani Madereva wanapata usumbufu sana kutoka kwa hawa askari
Wawe wanatoa Elimu kwa Madereva wakati Mwingine
Kumekucha
Ni kweli raisi magufuli aliruhusu mchanga wa pale daraja la dumila uchukuliwe na yeyote yule bure
Sasa hawa walioleta magari makubwa kubeba mchanga kupeleka kiwanda cha mkulanzi wanaharibu barabara kwa kubeba over tonage hawapiti mzani wanapita njia ya tuliani wanatokea mnadani pale...
Y
Yaani hawa wahindi ni kama yule mzungu aliyempiga stop mwl nyerere kukanyaga East Africa Eti wanavigogo wapo nyuma yao hakuna wa kuwafanya kitu ngoja Kiboko yao spate taarifa hii watatafuta pa kujificha
Kifupi kampuni hizi za nje zinatakiwa kufuatiliwa kwa ukaribu vinginevyo watanzania wataendelea kuonewa kama enzi za ujima
Viongozi au wasimamamizi wengi wa mradi siyo wazalendo ndiyo maana haya yote yanatokea kampuni kama haijafanya vizuri kwenye mradi A na kwa watanzania kwa nini unawapatia...
We are continue complaining to kalpataru company from India which was working for power line from makambako to songea , What they did is to sign with small company in Tanzania for piece work with contract and regulations from India , and they did refuse to pay many peoples who was join and work...
Hivi watanzania nani katuroga?
Issue za msingi kama hizi watanzania
Wanakaa kimya ikitupiwa issue ya Lissu au Lipumba hapa wachangiaji million
Kazi kweli kweli hawa wahindi ni hawafai
Mwenye muda awafuatilie atakuja sema hapa
Ni zaidi ya mabeberu
Point ni kwamba hawa main contractor ni wahindi kampuni ya KALPATARu ni matapeli wanashirikiana na baadhi ya watendaji wa serikali ,maana wazawa wamefanya kazi
Kwenye malipo wamekuwa wasumbufu then serikali inawapa kazi nyingine wakawadhurumu wazawa tena huko singida nafahamu waziri husika...
Wizara ya nishati na Tanesco
Je mnajua kuwa waliojihusisha na ujenzi kutoka makambako mpaka songea hawajalipwa na hiyo kampuni ya KALPATARU YA INDIA?
Na wanaowadhurumu ni watanzania wazawa wametumia pesa zao tena za mikopo the Leo hawalipwi tangia mwaka Jana mwezi wa 4 mpka Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.