Nimekaa na Kutafakari sana juu ya kile kinachoendelea hapa nchini kwa sasa na PICHA inayokuja kichwani inatisha na inanifanya nipoteze Amani na matumaini. Kwa giza lililopo kwenye picha hii hakuna hata chembe ya Nuru ambayo ingenipa amani ya moyo na faraja.
Ili mtu yeyote apendwe na...
Waziri anasema: "Maneno yanayosemwa mitaani, kwamba hali ya uchumi ni mbaya na fedha zimepungua katika mzunguko yanaenezwa na wapiga dili."
***Mh. Amewahi kutishia kubadili fedha ili kuwakomesha walioficha fedha(mzunguko wa fedha ulionekana kupungua kwa Mara ya kwanza
). Je! Yalikuwa ni maneno...
Natafuta Mwl. wa Kubadilishana idara ya msingi. Aje Tabora mjini(Uyui), niende wilaya yeyote mikoa ifuatayo; Mbeya, Njombe na Iringa.
Kwa atakayekuwatayari tuwasiliane kupitia simu namba 0782229781 au 0758220604
Mimi Mwl. Violeth Idara ya sekondari Wilaya ya Rombo natafuta Mwl. wa Kubadilishana kutoka wilaya yeyote ya mkoa wa Mbeya isipokuwa Chunya.
kwa atakayekuwa tayari tuwasiliane #0766807245
Hakuna neno au jina jingne kwa muuaji huyu ila "SHETANI"
Jamb gani lita-justfy unyama huu?
For how long shall we stand aside and watch you eating(stilling) our funds n drinking our blood?
Your dayz are number as kikombe cha mwenye dhambi ki-karibu kujaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.