Recent content by Chillah

  1. Chillah

    JamiiForums Tanzania HOJA Kanisa Katoliki lifanye uchunguzi wa Kwaya ya Kanisa la Sinza, kuna ‘upigaji’ na ukiukwaji wa maadili

    Nendeni Takukuru watawasaidia kuchunguza hizo fedha. Na huyo aliyepindua Meza asaidiwe arejee katika utu wake
  2. Chillah

    JamiiForums Tanzania Dkt Netho Ndilito aongoza kura za maoni CCM kumpata Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chamwino

    CDM wanajadili ya CCM.
  3. Chillah

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awalainisha madereva. Wasitisha mgomo ulodumu kwa siku mbili

    Kuelekea mwisho wa mwaka ajali zipungue.
  4. Chillah

    JamiiForums Tanzania Shemeji wa makamu wa Rais alamba uteuzi, mashalaah

    Kabla ya uteuzi alikuwa na cheo gani? Au ameibuka ghafla?
  5. Chillah

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike

    Mwanamke anayenunuliwa katika kichaka cha mahari ni kuhalalisha utumwa na unyanyasaji wa mwanamke kupitia biashara ya kumuuza mwanamke kwa mwanaume (biashara ya utumwa) Wazungu wakija kuoa huku afrika na kukutana na hiki kitu huwa wanahamaki na kusema wazi kuwa mimi simnunui huyu mwanamke...
  6. Chillah

    JamiiForums Tanzania Hivi, ni lazima au sio lazima kwa mzazi kumchangia kijana wake mahari anapotaka kuoa?

    Utumwa uliorithishwa vizazi kwa vizazi, inaitwa tumerithishwa tuwarithishe
  7. Chillah

    JamiiForums Tanzania Thread ya kuweka majina kuwasadia wazazi VIJACHO, na wanaotafuta majina mapya. Taja jina, jinsia, asili na maana yake

    Ni majina ya kitumwa Wanamajina mengi tu kama Brown Burns Stones Rice Beach Walker River Rock Ben White Tiger woods But Target Utumwa umetufanya tuendelee kuabudu vya tunao waita mabwana wakubwa.
  8. Chillah

    JamiiForums Tanzania Serikali iufanye mji wa Mikumi kuwa mji mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kukuza utalii mkoani humo.

    Makao makuu ya nchi tujenge Serengeti au Ngorongoro
  9. Chillah

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Hayo ni majina tu sio dini wala Imani ya mtu. Mambo ya udini bakini nayo huko kwenye mimbali zenu, kaa na sheikh au askofu ongeeni na kujadili dini zenu. Kipindi cha nyuma kulikuwa na mabishano ya hoja baina ya dini na dini (waislam na wakristo) vinasomwa vifungu alafu unaulizwa ina maanisha...
  10. Chillah

    JamiiForums Tanzania Feedback: Kuhusu biashara ya mbuzi na ng'ombe

    https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-biashara-ya-mbuzi-na-ngombe-kwa-anayehitaji-niwe-namletea-kwa-oda.2415583/
  11. Chillah

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

    Tupitishe katika hivyo vifungu vya sheria tupate uelewa.
  12. Chillah

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

    https://youtu.be/gPQMqI_ge2A?si=9eHLwwk4LN_Ow0_e Jipitishe hapa angalau itakusaidia kuongeza uelewa Robert Heriel Mtibeli
  13. Chillah

    JamiiForums Tanzania Naunga mabando ya Vodacom unlimited popote ulipo

    Imenishangaza
  14. Chillah

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Moshi ni takataka kabisa 🚮

    Ngangamfumuni
Back
Top Bottom