Recent content by Chilipamwao

 1. Chilipamwao

  Dini na Siasa: Kuna tofauti kubwa kati ya Maaskofu wa Katoliki na akina Kakobe

  Napenda kukujulisha tu kwamba Sir Isaac Newton hakuwa profesa.
 2. Chilipamwao

  Mbunge Goodluck Mlinga asema Prof. Ndalichako hafai kuwa Waziri wa Elimu. Adai yeye, Musukuma na Lusinde wangefaa zaidi

  umekurupuka, amesema kiwango kimeshuka kwa sababu ya ufaulu wa shule za serikali kuwa duni. tulia
 3. Chilipamwao

  Mbunge Goodluck Mlinga asema Prof. Ndalichako hafai kuwa Waziri wa Elimu. Adai yeye, Musukuma na Lusinde wangefaa zaidi

  Wewe mbona unaongea vitu bila utafiti? , unamjua mlingwa? ni mtoto wa waziri marehemu Celina Kombani, awe darasa la saba????????:(:(:(:(:(:( usipokuwa makini kabla hujaandika kuna siku unaweza kujiletea matatizo.
 4. Chilipamwao

  RPC wa Geita (Mponjoli Mwabulambo): Siwezi kuwaomba radhi CCM (Kukamatwa kwa Mbunge Musukuma)

  Actually kama huijui mbeya huwezi kuelewa ukweli mmoja. Wanyakyusa ni wengi sana wanaishi chunya na hivyo kuwafunika kabisa Wabungu wenyeji wa huko. kwa taarifa yenu hata Mbunge wa chunya ni mnyakyusa anaitwa VICTOR MWAMBALASWA
 5. Chilipamwao

  Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

  The Roman Catholic faith is simply a CULT
 6. Chilipamwao

  Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

  sasa huo mstari mbona hauendani. Kumwita mbarikiwa hakumfanyi kuwa mwombezi na by the way wabarikiwa ni wengi katika Biblia.
 7. Chilipamwao

  Kumbe Lissu alishawahi kuinanga IMMMA Advocates bungeni, alidai ilitumika kuanzisha makampuni yaliyochota fedha za EPA

  Tatizo lenu ndugu zangu wengi ni lile la kujiondoa ufahamu. Hata muuaji anastahili Wakili, mbona hamuelewi? sasa CCM ndio walisaini hiyo mikaytaba na wa makinikia leo mikataba inalindwa kisheria, you should use diplomacy instead of kujifanya mna dola, kesi inafunguliwa uingereza mnabaki ku...
 8. Chilipamwao

  Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

  Ndugu yangu, unaweza kunionyesha popote katika Biblia ambapo panataka Bikira maria aheshimiwe kama mnavyo jaribu kuaminishwa??
Top Bottom