crome20, umetaja point yingi zenye weight kubwa lakini umesahau kwamba serikali kazi yao kubwa ni kuboresha maisha ya wananchi kwa kutunga na kurekebisha sheria kutokana na wakati, jamii ya waislam ni miongoni ya wananchi wa tanzania, sheria za nchi ziboreshe maisha ya kundihili pia, kwa maoni...