Recent content by chikundi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yazitaka NGO's zote nchini kuwasilisha kwa Msajili taarifa za vyanzo vya Mapato

    Nani kakudanganya NGOs hazifanyi biashara? NGOs zina mapato kutoka kwa Donors sio lazima yatoke kwenye biashara. Siku hizi NGOs ni profit making organization but not sharing.
  2. C

    JamiiForums Tanzania kikao cha mwaka cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinaendelea huko New York,Viongozi wa Nchi za kiafrika wanena! Tz sijui nani katuwakilisha?

    Kwani lazima aongee kimombo? Marais wote pale wanaongea kimombo?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kuelekea miaka mitatu ya Rais Magufuli: Mafanikio ya bandari yaleta matumaini

    Hakuna mbunge/diwani anayejiuzulu uwakilishi bali hujitoa kwenye vyama vyao tu,uwakilishi unachukuliwa na katiba kwa sab haitambui muwakilishi binafsi,hivyo hana budi kutetea nafasi yake.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mdororo wa uchumi Tanzania: Watu 400 wamepoteza kazi kwa kufungwa mabenki

    Gawio lazima umpe mwenye hisa hata km ulilihitaji.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji washikilia passport ya Mkurugenzi wa Twaweza, Aidan Eyakuze

    Mbona hakuzawadiwa huko nyuma?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ubomoaji wa jengo la TANESCO Makao Makuu umeairishwa? Tulisikia ubomoaji umalizike muda mfupi tangu wito wa kubomoa utolewe.

    Alimaanisha jengo lote la mbele japo hakumalizia kusema la mbele. Yale ni majengo mawili yanayojitegemea mpk msingi wake ndio maana hakuona tabu kusema jengo lote akimaanisha la mbele. Wavunje la nyuma la nini wakati sio road reserved area?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ubomoaji wa jengo la TANESCO Makao Makuu umeairishwa? Tulisikia ubomoaji umalizike muda mfupi tangu wito wa kubomoa utolewe.

    Pale palikuwa na majengo pacha la mbele ndilo lililochukua nafasi ya barabara .
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ubomoaji wa jengo la TANESCO Makao Makuu umeairishwa? Tulisikia ubomoaji umalizike muda mfupi tangu wito wa kubomoa utolewe.

    Hujauliza umehitimisha na kutoa lawama kabla hujajibiwa, umefichua ujinga wako wote umebaki mtupu.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro na Ole Sebaya wameteuliwa kimkakati

    Wanaipush kwa kutukana na kupinga bila solution?
Back
Top Bottom