mbona kuna mtu anasoma bachelor of arts in music
UDSM na kapata mkopo
nacho ni kipaombele cha Nchi
acheni porojo mkopo bodi nahisi wanafanya probability sample kuwapa watu mikopo
watu wengine vichaa yaani unaponda NIT upo mtaani hata certificate ya ufagizi huna NIT ni chuo bora na msiwe na haraka ya kuona majina kwenye website ya chuo mshajiona tcu kama mmechaguliwa nit mnaharaka gani na kwa taarifa yenu kila chuo kina ratiba yake msiwe mafala mnaponda bila reason eti...
hembu msichafue jina ya hiki chuo bana NIT ni chuo cha kipekee East Africa kinatoa course ambazo huwezi kuzipata kwenye chuo chochote East Africa msiwe na haraka wadogo zangu ya kuja chuo mtasoma sana mpaka mchukie kusoma karibuni sana NIT
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.