Habari wana jamii wenzangu habari za wakati huu...
Ninaomba msaada nimetoka kumaliza chuo kikuu mwaka jana lakini maisha ya ajira naona bila bila
Msaada wenu nataka kufungua kampuni ya usafi kwa mwenye ufahamu wa jambo hili tafadhari naomba muongozo na utaratibu mzima
Nipo DAR ES SALAAM na...
Wakuu habari zenu
Nina kiwanja cha 20*20 hapa hapa Dar maeneo ya Tegeta Madare plan yangu ni kujenga nyumba kubwa ya vyumba vinne sebule daining jiko store. Lakini kwa sasa nipo na 7,000,000 ninataka nipige msingi wa nyumba nzima kisha ni pandishe viwili na kueka bati niweze kuamia kisha...
Habarini wandugu, msaada
Kwa mwenye kujua vizur kijiji cha MKATA au hata jilani na hapo tufaamiane naitaji kumpata mwenye kiti wa kijiji hiko au kiongozi yeyote hata Kama ni wa dini ndani ya kijiji hicho naomba tutafutane 0735043350
Hata mimi niliombaga mdh data mbaka leo kimya. Ila kwa ninavyo sikia sina uhakika kuwa mdh huwa wanachaguana ndani wenyewe kwa wenyewe then wanatangaza post
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.