Recent content by chikanu chikali

  1. chikanu chikali

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

    ISRAEL NI DUDE MOJA KUBWA SANA, IDF INAFANYA KWA VITENDO SIO KAMA CDM
  2. chikanu chikali

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa: Nasrallah amekufa na mwisho wa Israel umefika

    Bangi sasa hizi yaani kiongozi shujaa anadedi wewe unasema mwisho kwa Israel? Israel ni dude moja kubwa sana, God bless IDF
  3. chikanu chikali

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    ishu ya bandari ccm waangalie sana inaweza kuwang'oa
  4. chikanu chikali

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wazi kuna Mgawanyiko, Kundi la Hayati Magufuli na kundi la Walamba Asali

    Ccm ijitafakari inaweza kuzikwa soon
  5. chikanu chikali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DEMU KANIAMBIA JIBU LANGU ATANIPA, SASA NI MIEZI 2

    Hivi kidato cha sita mmemaliza pepa?
  6. chikanu chikali

    JamiiForums Tanzania Victory Day: Russia anaenda kumaliza hii vita ya Ukraine kabla ya Victory Day

    Urusi ipi? Labda ya mwananyamala
  7. chikanu chikali

    JamiiForums Tanzania Urusi yadai kushinda kura za maoni katika maeneo iliyojichukulia kutoka Ukraine

    kura kama za ccm unashabikia ujinga eti?
  8. chikanu chikali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Omba ushaur kwa shetani wako maana umeamua kumfuata shetani na zinaa zake, haiwezekani ukatenda uchafu mkuu namna hiyo, unachezea hisia za mke wako kwa kufanya uasherati kinyume na amri za Mungu. mwisho; TUBU, KUBALI KUACHANA NA SHETANI YAANI BE BORN AGAIN UTAPATA FURAHA TELE NAFSINI MWAKO
  9. chikanu chikali

    JamiiForums Tanzania Aliyekua anaunga mkono Kherson kwenda Urusi auawa

    warusi wa makete watapinga kwa kutumia mbinu yao "propaganda"
  10. chikanu chikali

    JamiiForums Tanzania Provoking Russia into a nuclear exchange is like getting into a gun fight with an opponent who has world’s best ballistic shield

    russia hata sisi Tanzania hatuwaogopi tulidanganywa sana kumbe warusi ni wepesi kuliko M23
  11. chikanu chikali

    JamiiForums Tanzania Siri imevuja namna Marekani alivyoionya Urusi kuhusu matumizi ya nyuklia Ukraine

    Urusi wamepoteana na bado
  12. chikanu chikali

    JamiiForums Tanzania Ndani ya masaa 24, Urusi wamepoteza ndege ya kivita, helikopta na vifaru 18

    Putin kashindwa vita, askari wake wanamhujumu kule Ukraine, Leo hii baadhi ya askari wake wanauza silaha zao kwa jeshi la Ukraine aibu. in short Russia ni kama mnara Wa babeli wamepoteana
Back
Top Bottom