Recent content by chikandi

  1. C

    Ripoti ya tume ya Sitta vipi?

    Hivi unamjua vizuri Sitta? Yule ni mzee wa madili. Kwa vyovyote asingeweza kufanya kazi na mtu kama Kipande ambaye inasemekana amezuia madili yote ya wakubwa bandarini. Ndio maana alipopewa tu hiyo wizara, alianza kushughulikia bandari kabla hata hajapewa briefing ya kutosha na bodi kuhusu...
  2. C

    PAC ilivyowajaza hasira wananchi

    Ni wazi kwamba anachokifanya Zitto sasa ni uchochezi. Baada ya Rais kutamka wazi kwamba pesa zile kwenye Akaunti ya Escrow sio za umma, kwa nini yeye aendelee kuwatia hasira wananchi, ambao wengi wao hawaelewi undani wa suala hili? Huu ni uchochezi, tena wa hali ya juu.
  3. C

    Laiti wananchi wangeisoma ripoti ya CAG mapema

    Sidhani kama wewe umewahi hata kuiona hiyo ripoti ya CAG. Pia sidhani kama unaelewa maana ya Escrow Account. Wewe ni miongoni mwa walioingizwa choo cha kike na Zitto na timu yake. Kutafuta umaarufu sasa kunawatokea puani wahuni hawa.
  4. C

    Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?

    Nani asiyejua kuwa Mengi anaingilia sana majukumu ya wahariri wake? Msituletee porojo hapa. Huyo ndiye anayetoa maagizo kwa wahariri ili waandike kile anachotaka yeye. Alijifanya kujitetea kule Uingereza alipofungua kesi dhidi ya yule mama wa Kiingereza na kupeleka timu yake ya wahariri lakini...
  5. C

    Mkono accused of misleasing TANESCO over Escrow Account

    Katika njia ya kujitafutia kazi, aliwapotosha Tanesco kwenye ushauri alioutoa (huku akijua ukweli). Wakili huyu pia alifanya ufisadi mkubwa pale BoT kwenye kesi ya Valambhia. Ni mtu anayepaswa kuchunguzwa.
  6. C

    Gharama ya ziara ya Prof Muhongo Mkoani Mara ni kufuru

    Tunahitaji ushahidi wa haya uliyoleta hapa. Kipindi hiki ambapo Prof. Muhongo ana uadui na baadhi ya watu ni rahisi sana kuweka uzushi humu.
  7. C

    Mkono accused of misleasing TANESCO over Escrow Account

    This is an interesting case. Kumbe Nimrod Mkono aliipotosha Tanesco? Huyu si ndiye mwanasheria aliyekuwa akilipwa billions na Tanesco kwa kazi za kawaida kabisa za kisheria? What happened? Fuatilia kisa hiki kwenye kesi hii kama ilivyoripotiwa na Daily News:- ===== Mkono accused of...
  8. C

    Tumbo joto NEC ya CCM kumteua mgombea urais 2015

    Majina matano ya mwisho yatakuwa: Mizengo Pinda, Benard Membe, January Makamba, Lazaro Nyalandu, Prof. Sospeter Muhongo. Amini usiamini, andiko hili litatimia.
  9. C

    James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    Hivi kwa nini Watanzania tunapenda kukimbia facts na kujadili porojo. Mmepewa facts zote kuhusu suala hili la Escrow lakini bado mnazungumzia habari za kufikirika! Nashangaa kwa nini moderators wanaacha thread ya kizushi kama hii ya Rugemalira kufungua kesi, iendelee kujadiliwa humu.
  10. C

    James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    Aliyeleta uzushi huu kaeleza kuwa ni tetesi. Mbaya zaidi, hajasema amezisikia wapi tetesi hizo. Sisi tunaojua ukweli tunasema huu "ni uongo". kama kuna ukweli arejee hapa. Mbona ameingia mitini? Acheni hizo bana. Rugemalira afungue kesi kwa misingi gani?
  11. C

    Askfou Nzigilwa asema fedha alizopata ni matoleo ya kanisa

    Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Eusebiua Nzigilwa amevunja ukimya akisema ni kweli alipokea fedha kutoka kwa Mkurugenzi wa VIP Engineering & Marketing Ltd James Rugemalira zikiwa ni matoleo ya uendeshaji wa kanisa. Amesema Rugemalira amekuwa akitoa sadaka na michango...
  12. C

    James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    Taariafa hii ya uzushi imeshakanushwa. Wewe mtoa mada umeitoa wapi?
  13. C

    James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    Unashindwa kuuliza source ya aliyeleta huu umbea "unakazana" kumwambia mtu ana ID fake. Je ya kwako ni real? Tujenge tabia ya kuongea ukweli tunapoongea mambo muhimu! Kutunga uongo wa namna hii na watu wakatumia muda wao ku-comment si matumizi mazuri ya JF.
  14. C

    James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    Kwa hiyo unamuamini aliyetoa uzushi huu kwa ID fake kama yako? Yangu sio ID fake. Ukweli ndio huo.
  15. C

    James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    Rugemalira hajafungua kesi yoyote Mahakama Kuu. Taarifa hii ya ya uongo! Kesi zilizoko Mahakama ni za VIP dhidi ya SCB na washirika wake. Pia kuna kesi nyingine lakini Rugemalira hana kesi binafsi ambayo amefungua au ambayo ni dhidi yake.
Back
Top Bottom