Recent content by chikambabatu

  1. C

    Orodha ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

    Hainishitui, kwa kuwa sitapiga kura!
  2. C

    GE2025 CHADEMA kususia Uchaguzi wametuumiza wengi

    Wakoloni hawakuiba kura, walishawishi vyama wavitakavyo kuungana dhidi ya chama wasichokitaka.
  3. C

    Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

    Na wanasiasa waache kuita watu wa dini kuomba kwenye mikutano yao, kwanza sala na Dua zenyewe zinakuwa za mashaka sidhani hata Mola anazikubali, walinde tu polisi inatosha!
  4. C

    PreGE2025 Wakili Addo November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili

    Mbona form za C-19, walisaini wasiojulikana na huko wakasaini tu! Baada semeni tu wamesaini CDM! Kwisha.
  5. C

    Kanisa la Sabato huwa halitaki mwanasiasa asimame madhabahuni kuhubiri.Mchungaji wa Kurasini aliyemkaribishe Heche afukuzwe kazi

    Sasa kama wanasali wengi askali uoni ni sehemu bora wapinzani wakapata nafasi ya kusema nao ili watimizapo majukumu yao waache upendeleo, uonevu,rushwa na wawe na huruma!
  6. C

    Nimefurahi kuona ushauri wangu wa kutaka kuanzishwa kwa Tanzania Bureau of Investigation kama ilivyo FBI umechukuliwa na unafanyiwa kazi

    Kitatumika kudhibiti wapinzani wa kisiasa hamna jipya, uenda kitakuwa kikikamata, kutesa, kufungia shughuli, na kisiojiwe hata kikiua, mbona vyombo sijui viungo viko vingi na shunguli ni moja kudhibiti, sipendi kianzishwe kingine!
  7. C

    Uchaguzi 2025, CHADEMA warudishwa uwanjani na serikali ya CCM, Je, CHADEMA watakubali au watagoma? 5 questions to answer!

    Kuruhusiwa kwa CDM kusaini kanuni ili iweze shiriki uchaguzi, haya yalikuwa mapendekezo ya Warioba na Butiku, lakini yalipuuzwa muda ule, wanapaswa waende mbele zaidi kufuta kesi za kisiasa, suala la CDM na wepenzi wake kushiriki au la ni juu yao, Kwao reform ikifanywa kazi naamini watashiriki...
  8. C

    PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

    Ulipata nafasi kipindi cha jiwe, sidhani sasa.
  9. C

    David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

    Huyu ndio anapotosha, hadi mtu anasema tuko vizuri ukuaji kiuchumi kuliko tonakoenda kukopa na kuomba misaada, data tu, uhalisia hamna, tembelea maeneo tajwa, utekelezaji 20% na mradi huko nyuma ya muda, achana na data za kupika, umekalia dawati unalopoka!
  10. C

    "Wanawake Wenzako". Hii Ni Kauli Ya Dharau Sana Iliyotolewa Na Luhaga Mpina Kwa Amiri Jeshi Mkuu. Imeniudhi Sana

    Waombe radhi wanawake nchini, kabla siku ya wanawake duniani aijafika, kwani utaona jinsi wanavyofurahia uwanawake wao,
  11. C

    PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

    Kagombee udiwani Zenj, hakuna ukabila kwenye uzawa, ukipenda Arusha ishi ila usijifanye kwenu, maendeleo hata wazawa wataleta!
  12. C

    PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

    Pamoja na ukabila ni mwiko nchini, ila mzawa ni muhimu kwa nafasi ya udiwani, ubunge, sio U-DC &U-RC , wenzetu wako mbele zaidi uwezi pata udiwani, ubunge wa bara huko Zenj. Sasa huyu Makonda kwao wapi?
  13. C

    Askofu Gwajima kuongoza Ibada ya Jumapili Juni 15, itafanyika Jimbo Kuu Dar Saa 4 Asubuhi

    Lazima ataokotwa! Hii tunamwomba Mola aepushe, wasipimane ubavu, vema akatulia asubiri taratibu zifuatazo!
Back
Top Bottom