Recent content by chihwindi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitaongoza nchi kwa spidi ya Magufuli

    acha porojo spidi ya magufuli ndio nn mbona hueleweki,uongo utakusaidia nn
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini anti-CHADEMA/UKAWA wanasemea Star TV tu?

    ukitaka umalize siku yako kwa amani usijaribu kuangalia tbc na star tv
  3. C

    JamiiForums Tanzania Amka Mtanzania Mwenzangu!

    tulishaamka sasaivi tunapiga mswaki na kunawa uso halafu tunanowa kikatio kwa ajili ya kuchinja maana hamna namna nyingine
  4. C

    JamiiForums Tanzania Vijana kuvalishwa sare za CCM na kujifanya kurudisha kadi -Arusha

    naona mtoa mada umeanza kupanic si mlikuwa mnajinasibu arusha mmefunika sasa leo ndio mtawajua machalii wa arusha
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ukitoa mbwembwe za Dk Slaa ukayasummarise maneno yake utagundua hana tofauti na UKAWA anaowakosoa

    tulishaamua kura kwa mr edo hata akeshe star tv hawezi kutubadilisha,mungu tujalie tufike tar 25 inshallah maana wanazani tunatania
  6. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Asilia v/s CHADEMA Pesa

    mnahangaika kweli chadema ni moja tu na tar 25 kura zote kwa lowasa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    nazani wanatamani angeanza kupita lowasa hapo arusha mjini halfu apite magufuli maana naona kazi yote waliyoifanya bure
  8. C

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    subiri leo ndio utajua watu wa arusha walivyo,fanyeni mikutano bila fiesta muone
  9. C

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

    naona mmeanzisha post halafu mmeitana haraka haraka mchangie :wink::wink:
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    mleta mada hivi ukiangalia ulichiokiandika kinaendana na hiyo buku 7 unayolipwa kweli,ningekuwa mm ndio cashier wa lumumba ningekukata leo ningekupa japo buku tu ya nauli
  11. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    hii tv sijui inaokota wapi waandishi wake
  12. C

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea Mwenza wa urais kupitia CCM, Samiah Suluhu

    safari hii mtalia nyie kuibiwa,maana mmeshikwa kila kona
  13. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    arusha leo rais ajaye anaenda kumaliza kazi
  14. C

    JamiiForums Tanzania Operesheni Zinduka 3 - Kamari ya Mbowe na Lowassa yaweza kulipa kweli (Incl. transcript)

    tulishafanya maamuzi we endelea na porojo zako ,kwanza unaishi huko unajua shida zetu sisi huku, tutamchagua nadhani hutarudi tena tz wakati utakapokuwa uanaangalia u tube edo akiwa anaapishwa
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mchezo mchafu. Lowassa atenga fedha kununua kura milioni 10

    hili gazeti serikali inayoongoza ya chama chao kwann hawaripoti hatua zichukuliwe watu wanajiandaa kutoa rushwa wana ushahidi wanakaa nao lumumba tu
Back
Top Bottom