Mleta mada una ukungu kwenye ubongo ,tatizo lako na wenzako,unataka hadi shida zako binafsi ,zitatuliwe na mbunge ,mbunge kwako ndiye hotel,atm,hospitali,nk,badilikeni,mama tibaijuka ni mzuri,sema unamuona hana maana sababu hakaribishi ujinga wako na wenzako,wakutaka msaidiwe kila kitu,kisa tu...