Recent content by Chifu Songea

  1. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka kamzidi Samia kwa kipaji. Jifunzeni

    Shikamo Mama Tibaijuka
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu wajameni, yule Mbunge aliebinuka bungeni kwenye meza, alirudi bungeni awamu hii?

    Kwamba atakuwa ameenda VETA kuendeleza ujuzi wa kubinuka
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kangi: Bunge, Mahakama, na vyombo vya Dola viwe huru

    Enzi zile anavaa mashati yenye mifuko ya bendera ya taifa hakuwa akiyaona haya??
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mungu tunaomba usiruhusu Madhara yoyote kwa Dr Nchimbi

    Hanaga rafiki Wala adui wa kudumu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Kukamatwa kwa Mwanajeshi wa Marekani Tanzania kumekuzwa kupita kiasi na Serikali

    Unamuita balozi wa Marekani mpumbavu, wakati sever za jf zipo kwao!! Una balaa wewee
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma azichapa na ‘mwekezaji’

    Si ajabu Hilo eneo Musukuma naye alikuwa analitaka. Sasa amewahiwa limemuuma sana. Yaani hadi upigane Kwa mambo ambayo yangeweza kumalizwa kisheria. Kuna kitu hapo siyo bure
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mimi binafsi sijaelewa hii hoja kuwa Watanzania mnamnyanyapaa Rais Samia. Aliyeelewa atusaidie

    Hajatumia neno kumnyanyapaa, amesema kumnyanyasa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamama mkatoliki ataandamana akiwa amevaa dela

    Hakuna hata mmoja aliyevaa rozari. Wala vile vitenge maarufu vya wakatoliki wanawake vyenye chapa ya WAWATA.
  9. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kocha Gamondi: Ushindi wa Tanzania ni heshima kwa waliopoteza maisha Oktoba 29

    .....walikusifu vibaya mno.... Kwa hiyo walitaka uwakanyage kanga wafu?? Iweje wakusifu vibaya, Kwa maana hiyo walikupa sifa mbaya kisa tu umeamua kuokoa maisha ya kanga na mama kanga! Duuh, hao wazungu bwana. Kwa nini wasingekusifu vizuri jamaniii. Looh! Nachoka mimi.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

    Sasa maskini wasipozaliana na kuongeza nguvukazi katika shughuli za uzalishaji hao unaowaita matajiri watamnyonya nani ili hatimaye waonekane ni matajiri??? Maana matajiri walio wengi huwanyonya maskini na Kuonekana kuwa ni matajiri. Na ili tajiri aonekane kuwa ni tajiri lazima awepo mtu...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh aliyesema Waislam wasile chakula cha Wakristo pia awashauri wasitumie Kalenda ya Wakristo

    Vipi kuhusu cement zinazotumika kujengea misikiti. Hazitengenezwi na makampuni ya wakristo kweli??
  12. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh aliyesema Waislam wasile chakula cha Wakristo pia awashauri wasitumie Kalenda ya Wakristo

    Eti nisione mwislam anasherekea Krismas na Mwaka Mpya!!! Kwamba waislam wote ni wa nyumbani kwake au wote ni watoto wake kiasi kwamba anawaamuru anavyotaka!!??
  13. C

    JamiiForums Tanzania CDF mstaafu, Mabeyo aibuka na kuongelea Rasilimali. Aomba radhi kwa maneno yake

    Unajuaje kuwa kama ubao ungegeuzwa hao wageuzaji wangeenenda Kwa haki? Huenda Hali ingekuwa worse zaidi ya sasa
Back
Top Bottom