kila lenye mwanzo lazima liwe na mwisho, maana hata ngoma ikivuma sana hupasuka. . wamewasha moto majvu lazma yatapatikana. . .wakristo kuwa kmya hujue wanatunga sheria. . .
hakika kwa mtililiko kama huo ni vyema serikali iangalie ktk katiba mpya maana hata nami nina unga mkono, ktk katiba mpya maana elimu watu wakipata tutaendelea sana maana walio wengi wataweza kujiajili ktk fani tofauti. . .nahakika serikali wanaweza kuangalia suala hili kwa kina, .maana elimu...
Wapendwa watanzania wenye nia na uchungu kwa wadogo wetu walio feli kidato cha nne- . tume haita saidia chochote, . maana vtu vya msingi vinafahamika 1-serikali iwekeze ktk elimu sio kubweteka na kilimo, .2-pia walimu wapewe vpaombele kama jeshi au polisi, maana wanafanya kazi ktk mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.