Mama hataki mitikisiko kipindi hiki anachotaka October mtiki mambo yasiwe mengi,kifupi anashambulia na kudefence,ikiwezekana anabeba mpaka pumzi Yako 😂😂
Jambo la kusikitisha Kuna vijana wenzetu Tena wanazuoni wanauza utu wao kwa kuficha madhaifu ya serikali .Hatuwezi kuiponyesha nchi yetu dhidi ya wachumia tumbo na wanaouza nchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.