Recent content by Chief Mwanamalundi

  1. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    KWANI HUWEZI KUTANGAZA BIASHARA YAKO BILA KUKANDIA YA MTU MWINGINE!?
  2. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mende tunaidharau lakini ndio ushindi ulipo

    Suala la kupata katiba mpya linakutana na changamoto ngumu sana
  3. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Bunge lijalo

  4. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hiki Kitendawili cha "WAZIRI Mkuu Majaliwa kutogombea Ubunge" Ili "kuwapisha Vijana", kitateguliwa mbele ya safari

    Ameona heri abaki na hiyo heshima ya cheo cha waziri mkuu, kuliko aje kuwa mbunge au waziri wa kawaida tu.
  5. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Licha ya Botswana kuwa nchi Tajiri na idadi ndogo ya watu Milioni 2.5 tuu lakini wananchi wake hawana ajira

    Umeandika kishabiki sana, sijui umefanya hivyo kwa faida ya nani!!!! As if hujui mkakati wa wanasiasa kuhusu vijana kuwa na nguvu ya kiuchumi (kuwa na fedha japo kidogo).
  6. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnafanya jogging na marathon mnatutega

    Maisha yangu ya shule yote was a lie kumbe tako ni "Utapiamlo" ... Yaani kama nchi bado tuna safari ndefu sana. Nifocus na katiba mpya tu.😂😂😂
  7. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO mlaaniwe nyie pamoja na vizazi vyenu 7🚮
  8. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    DART nyie ni kansa na nimaandui wa maendeleo, hamuwezi kuwaweka watu lisaa na nusu kituoni wanasubiri mwendoka, yaani hata ukisema upande ukageuke nalo, napo workdone equals to zero.
  9. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama hujawahi kutamkiwa haya katikati/baada ya show jua kiwango chako bado

    Sawa mheshimiwa waziri wa mapenzi na minong'ono ya kitandani. Tumekupata
  10. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama hujawahi kutamkiwa haya katikati/baada ya show jua kiwango chako bado

    Sawa mheshimiwa waziri wa mapenzi na minong'ono ya kitandani. Tumekupata
  11. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama hujawahi kutamkiwa haya katikati/baada ya show jua kiwango chako bado

    Sawa mheshimiwa waziri wa mapenzi na minong'ono ya kutandani. Tumekupata
  12. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa Makamu Mwenyekiti, baada ya kupata Uenyekiti kimyaa

    Naona kila mtu anaamua tu kuandika kile kinachompa furaha hata kama hajui kitu chochote juu ya kile anachoandika. Cha msingi ni kufurahisha fuvu na moyo.
  13. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamba: Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia

    Makamba unaongea kuhusu democracy gani!!??? Mngeacha watu wachukue fomu apambanie nafasi na yeye, HAPO HAKUNA DEMOCRACY BALI NI MAVI YA POPO.
  14. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Dereva bodaboda auawa akidaiwa kuiba mayai matatu

    Daah, mayai tu na unaua mtu na wapo watu wanatembea kwenye viyoyozi vya V8 na wameiba mabilioni na mabilioni
  15. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

    Hakuna hata kitu uneandika hapa, umejaza porojo na kujipendekezwa kwingi uonekane na wewe unasema kazi alizofanya raisi.. kwenye kilimo serikali hakuna kitu inefanya amini hilo. Ipo siku utakuwa na akili.
Back
Top Bottom