Habari wanajamiiforum wenzangu..
Naomba mnisaidie,,,Akaunti yangu ya rita imegoma kureset password baada ya mimi kubadili password za email yangu,,,Rita wanataka nireset password lakin kila nikiweka password wanasema ni invalid,,,nifanye vip ili niweze kuangalia majibu ya cheti changu cha...