Wachagga ni sawa na wana wa Israel,Wayahudi,watakuwa ugenini kwa shuruba za utafutaji,watajisikia kunyanyasika,watatafutiwa kila aina ya mateso na masengenyo,hata hasara na umauti,Ila hawakati tamaa kwani Mungu wa ahadi ya kuwavusha hajabadilika.
Mungu wa wayahudi anayaona wanavyopigania maisha...