Wakuu,
Kiongozi mwenye hekima na busara huunganisha watu wake wawe kitu kimoja.
Wakumbusheni viongozi waliopo madarakani kuwa Watanzania sio wajinga wanaona kila kitu.
Na wakumbusheni huo uongozi ni dhamana tu wamepewa kwa muda na wenye dhamana ni wananchi.
Wakumbusheni kuna siku watastaafu na watakaa pembeni na wao watakuwa watazamaji.
Wakumbusheni wasiwafanye vyama vingine kama watoto wadogo.
Wakumbusheni Mwalimu Nyerere alitumia nguvu kubwa na muda mwingine kulaumiwa ili kuijenga demokrasia ya vyama vingi.
Vyama hivi sio dhambi kuwepo kwani vipo kwa mujibu wa sheria za nchi.