Ila hivi vyeo hivi! Ishi na watu vizuri tu. Leo Gambo ni mwananchi wa kawaida kama wewe

Kupata vyeo vikubwa umri mdogo Napo tabu aisee Mana hapo inabidi atafte kazi nyingine Sasa. Waliosema cheo ni dhamana hawakukosea kabisa, mbaya kitakacho mtesa ni marafiki watamkimbia wote no more salute's hapo ndo shida
Jamaa alikua anavimba balaa utafikiria PM,vingora na misafara.sasa hivi atakua na msafara wa mkewe na watoto
 
Msije bumbaizwa kumuona akiutwaa ubunge kwa nafasi ya mstaafu MP Lema.
Hiyo ilikuwa mbinu tu ya kumwongezea mwendo.

...huwa hawatupwi kamwe bali hutumika kutengeneza trending news na kipima joto.

Huyu ni Mbunge na waziri wenu mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom