Recent content by Chidudule

  1. C

    Juma Duni Haji alikuwa na haki ya kushiriki Mkutano wa Baraza Kuu CUF. CHADEMA wametapeliwa

    Ubongo wako ungekuwa timamu, ungekumbuka siku Juma Duni alipojiunga Chadema alichokisema. Alisema anajiunga Chadema kukidhi matakwa ya kisheria. Juma Duni hakuihitaji Chadema na wala Chadema haikumhitaji Babu duni. Na hata kwenye kampeni Babu duni alikuwa na watu wa CUF. Hata Maalim Seif...
  2. C

    Juma Duni Haji alikuwa na haki ya kushiriki Mkutano wa Baraza Kuu CUF. CHADEMA wametapeliwa

    Chadema walikuwa na mwanachama ila katika muungano wao, walipanga chama kimoja kitoe Rais na kingine makamu. Chadema wakatoa Rais na CUF makamu. Sheria zinataka Rais akitoka bara, makamu lazima atoke Zanzibar na lazima wote wawe chama kimoja na ndiyo maana Duni ikamlazimu achukue kadi ya...
  3. C

    UVCCM Zanzibar: Abeid Karume afukuzwe CCM

    Hivi huo muungano unaolindwa sana una faida gani kwa sisi watu wa Tanzania bara? Kuna nchi ambazo hata hatujaungana lakini zina faida kibiashara kuliko hata hiyo tukiyoungana nayo. Mapato tunayoingiza kupitia nchi ambazo hatujaungana nazo ni makubwa sana kuliko hayo ya Zanzibar. Serikali...
  4. C

    Siku CCM ikitoka madarakani yatafichuka mangapi?

    Matokeo ya Urais Zanzibar, matokeo ya Ubunge Mbagala,Matokeo ya Umeya Tanga na mengine mengi tu, yanadhihirisha kuwa hata wale wanaccm wanaotumia vitabu vya dini kuapa kuwa watatenda haki ni wanafiki zaidi ya shetani. Yaani haya matokeo ya yanayodhihirisha kuwa ccm wote ni watu wa Jehanam...
  5. C

    Siku CCM ikitoka madarakani yatafichuka mangapi?

    Yatatokea zaidi ya haya ya Magufuli
  6. C

    Bilionea fisadi wa Tegeta Escrow, Rugemalila awa mfadhili mkuu wa CHADEMA

    Magufuli pamoja na maigizo yake hawezi kumkata huyo mnamwita fisadi, atafanya maigizo kwingine lakini sio kwa J- milionea.
  7. C

    Maandamano ya kuunga mkono utendaji unaoendelea wa Rais JP Magufuli

    Maandamano na mikusanyiko ya kisiasa imezuiliwa na ndiyo maana Lowasa hajapewa kibali cha kuwashukuru waliompigia kura, ni Waziri mkuu tu ndiye ana kibali cha jimboni kwake.
  8. C

    CHADEMA wamvaa Rais Magufuli na Waziri Mkuu, ni kuhusu Umeya na Demokrasia Nchini

    CCM laiti viongozi wao wangekuwa na akili kidogo wasingehangaika na ushushaji wa bendera za wapinzani, maana kwa kazi anayofanya Magufuli na Majaliwa,ilitosha kabisa kubeba wanachama wa upinzani. Lakini kwa wanachofanya ni kama wanawatangaza wapinzani na hata wale ambao walikuwa wamesahau siasa...
  9. C

    CHADEMA hai yaendelea kusambaratika

    Tanzania bila maprofesa inawezekana. Sijawahi ona mchango wa maprofesa kwenye siasa na hata katika kutetea maslahi ya wananchi. Kwa Tanzania akili ndogo inaongoza akili kubwa.
  10. C

    Magufuli, tupambane tuachane na kutegemea misaada!

    Well said! Kuna watu wanafikiri ukiwa na bandari na madini eti unaweza komaa ukajitegemea. Hao wazungu tunawategemea kwa kila kitu sio utakwepea wapi. Kama ni utalii wao ndiyo wanachangia kuliko sisi. Tukisema tulime mazao ya biashara tutamuuzia nani kama si wao? Na wenyewe ndiyo wanapanga...
  11. C

    Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Anastahili kabisa, hakuwa anafanya kampeni za majitaka. 100% He deserve!
  12. C

    Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    Niko Moro, He is the right candidate at the right time. Anajua kuhamasisha, anajua kujenga hoja.
  13. C

    Freeman Mbowe anazidi kuipaisha CHADEMA

    Naona ile single ya Chadema ni Zitto imeisha makali, sasa hata hii ya Magufuli ni muda tu usiozidi miaka 10. 2025 upinzani utaibuka kwa nguvu hutaamini. Wasira alisema Chadema itakufa 2013, akaja Kinana nae akasema muungano wa UKAWA ndiyo kaburi lao hawawezi kuelewana. Sasa bora hata muungano wa...
  14. C

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Dodoma wamechagua kikabila zaidi; Wilaya za Wagogo wamechagua Wagogo wenzao, Warangi na hivyo hivyo na ukienda kule kwa Watiriko hivyo hivyo. Kwa Dodoma ukabila mtupu.
  15. C

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Imekuwaje umtungie thread na wakati umefuta kumbukumbu zake?
Back
Top Bottom