Sijamaanisha kuanzisha ligi kuhusu aina za box kunapost nimesema srt 4922 ni bora kuliko srt 4950 pia nikaweka na link ili mtu aangalie mwenyewe utofauti wa hizo box lakini nikasema zipo nzuri zaidi kama DREAM BOX
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.