Recent content by Chidi master

  1. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa yoyote anae uza vitu vya saluni ya kiume ajitokezeanitajie bei zake lakin asiwe nje ya daresalaam

    Naomba kwa yoyote anae uza vitu vya saluni ya kiume ajitokeze anitajie bei zake lakin asiwe nje ya daresalaam
  2. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Hivi ukichelewa kusaini pesa ya kujikimu inarudi HESLB?

    Pow kiongoz asant sana
  3. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Hivi ukichelewa kusaini pesa ya kujikimu inarudi HESLB?

    Naomba kuuliza wadau. Hivi ukichrewa kusaini pesa ya kujikimu, pesa hiyo itarudishwa bodi na hutopewa tena hata ukisaini au inakuwaje? Naomba kujibiwa.
  4. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujua kiasi unachodaiwa na HESLB

    naomba kuuliza wadau hivi ukicherewa kusain pesa zinarudishwa bodi na hutopewa tena au?
  5. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Appeal imefunguliwa Leo mwisho jpili
  6. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Wanafunz walioomba mkopo mwaka Jana wkakosa na mwaka huu wakaomba tena yan wapo mwaka wa pili sasa majina yao yana jumishwa humohumo au kna njia nyngne? Nauliza wadau
  7. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Batch ya 5 pia nahs itkuwepo...
  8. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Vp hyo ndo itakuwa ya mwisho au had itoke kauli?
  9. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Ila anaelewa cku au taarifa yoyte kuhusiana na batch 3 atupe
  10. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Nauliza kuhusu awamu ya tatu itatoka Lin?
Back
Top Bottom