Recent content by Chiclette

  1. C

    Watanzania waliopo Switzerland

    Nipe namba zake😅😅😅
  2. C

    Watanzania waliopo Switzerland

    Habari, Kama kuna mtanzania yupo Switzerland na anatafuta mtu wa ku connect nae mimi nipo Basel, Jinsia Male age 23.
  3. C

    Nanunua simu used

    Ndio ila sio zile zenye batan kati kati
  4. C

    Nanunua simu used

    Habari, natafuta simu, kwa yeyote aneuza simu yake anicheki. Bajeti yangu mwisho 200,000 Nicheck whatsapp 0622905303 Kampuni yoyote we njoo na sim yako inbox. Ahsante Muuzaji uwe dar
  5. C

    wakuu nashida na kazi

    Watafute garda world, g4s na sga security
  6. C

    Fursa Trainee Zanzibar

    Habari ndugu zangu, naomba kujua kama humu ndani Kuna mtu anafanya kazi au unajuana na mfanyakazi wa MICHAMVI SUNSET BAY HOTEL. Kama yupo namba tuwasiliane DM maana nahitaji kupata fursa ya trainee pale, maana nilienda mwenyewe, walinzi wakanirudisha wananiambia hamna nafasi, wakati watu...
  7. C

    Kazi za Hotelini Zanzibar

    Nasubiri Majina ya hizo hoteli nikajaribu, ulinzi utaniua
  8. C

    Kazi za Hotelini Zanzibar

    Habarini Wana JF. Swali langu ni kwamba muhitimu wa kidato Cha sita ambaye hajasoma course yoyote ya hospitality Yani mambo ya hotel na housekeeping anaweza para temporary job hotelini? Mfano waiter? Au usafi? Maana nimesikia watu wengi wakizipata hizo kazi huku Zanzibar. Mimi ni kijana wa...
  9. C

    Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii njia Yako hii sio poa
  10. C

    Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

    Bora wewe umefafanua ila kwa vile umeanza na dharau basi ushauri wako ni BURE, kingine hujawahi sikia watu wanafundisha kuwa muwazi na kushirikisha watu kabla ya kufanya maamuzi??? 😂 Mimi ndo maana haya mambo sipendagi kusikiliza Yani ni kama afya tu, au hizo nazo ni akili zangu za shule?
  11. C

    Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

    Mimi jitu wewe nani? Alafu umesoma mjadala ulipoanzia au unadakia tu? Soma kwanza ndo urudi hapa🤣🤣 unaelewa kwanza hata kinachoongelewa
  12. C

    Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

    K Kwani nimekuuliza wewe? Mbona wenye uelewa washajibu? Si lazima ku comment
  13. C

    Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

    Sasa si ndo nikushangae wewe unaniambia ninyamaze wakati Mimi pimbi tu ninaeenda kufanya kazi ya kujitolea tena ya kanisa😂😂 Kuna haja gani ya kukaa kimya.... Wewe mkurugenzi ndo ukae kimya kwenye mambo ya kampuni Yako sawa???😂😂
Back
Top Bottom