Recent content by chichii

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mengi akumbatiana na Rostam Aziz, Je huu ni mkakati wa team Lowassa kutaka support ya ITV?

    Mengi ni mnafiki tu. Huyu si alijifanya anapambana na mafisadi? Imekuwaje leo anawakumbatia na kuruhusu vyombo vyake vya habari vitumike kuwapigia debe mafisadi?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jackline ntyabaliwe -K-lyn-mwanamama tajiri kuliko wote Tanzania

    Ni nani huyo?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya tume ya Sitta vipi?

    Hivi yule jamaa si alikuwa Wizara ya Ujenzi na pale alikuwa anakaimu tu, kwa nini nhakurudishwa wizarani akapelekwa Utumishi kupangiwa kazi nyingine?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Mengi akigawa utajiri wake

    Hana lolote huyo babu. Ni mkuu wa wanafiki. Anafanya mambo mengi kutafuta sifa, lakini ayafanyayo nyuma ya pazia ni ya kutisha. Ni katili wa ajabu!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

    Taarifa hizi ni za kweli. Makongoro anaheshimiwa pia ndani ya ngazi za juu za chama kutokana na kusema ukweli na uadilifu wake. Nasikia yeye ndio chaguo la wazee wa CCM wakiwemo kina Mangula. Ngoja tuendelee kusikilizia.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ngeleja na mchango mkubwa katika maendeleo ya umeme

    Hivi ilikuwaje akaondolewa pale wizarani? Hebu tudokeze kidogo Sergio. Anyway, wakati mwingine ni vema ukatekeleza wajibu wako na kuacha alama fulani, kama alivyofanya huyo dogo.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Upo sahihi kabisa. Hawa watu lazima watushawishi kwa rekodi zao za utendaji na sio vinginevyo. Katika vijana waliojitokeza mpaka sasa naona William Ngeleja ananishawishi kutokana na rekodi yake ya utendaji alipokuwa waziri wa nishati na madini. Ndiye aliyeasisi mradi kabambe wa kusambaza umeme...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Mpaka wakati Rais Kikwete anatoa ufafanuzi kuhusu umiliki wa fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow na kubainisha kuwa zilikuwa za IPTL, athari za uongo uliotolewa bungeni na PAC kuwa zilikuwa fedha za umma zilikuwa zimesambaa kwa kiasi kikubwa na hata kuwafanya wananchi waanze kudai fedha...
  9. C

    JamiiForums Tanzania PAC yaendelea kugundua madudu TRL

    Duh! Hii inamaanisha nini sasa?
Back
Top Bottom