Recent content by Chibwa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Walimu Dar kusafiri bure kwenye daladala

    kwa mwalimu mm sitoweza kusafiri bure isije nikasodolewa kuwa unafanya kazi ipi!!!!!!! hadi ushindwe kulipa nauli ya 400 kaaah huu uzalilishaji wakiaina.. Wakitaka waanzishe gari special kwa walimu na wanafunzi tu. Hapo sawa ila kusema hz za public ivi munawajua makondoka wakiwa wanataka hesabu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania simu yangu ina shida ya ku.share Location

    Asante nimeelewa
  3. C

    JamiiForums Tanzania simu yangu ina shida ya ku.share Location

    Huwa nikitaka ku.share Location iwe whatsapp, Facebook, instagram haikubali naletewa huu ujumbe "Maps are not supported for this app at the moment. Keep an eye out for updates" Natumie Nokia XL
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwanaume mkazi wa Morogoro ajichinja hadi kukata roho

    hakuna msamaha kwa alije jitoa roho makusudi hata km 2taandka R.I.P watanzania wote
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni kusaidiwa tatizo la viruses

    nimefanikiwa shukrani sana wote
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jamani cm yangu imekufa

    watakupa elimu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni kusaidiwa tatizo la viruses

    natumia laptop dell windows 7 profession ..nimeweka flash ili niamishe data ila cha ajabu programme zote zimebadilika zikawa kwenye FORMAT ya MS WORD.hapa siwezi fanya chochote hata kuinstall programmme mpya siwezi. naombeni msaada wataalam.natanguliza shukrani
Back
Top Bottom