Naombeni kusaidiwa tatizo la viruses

Naombeni kusaidiwa tatizo la viruses

Chibwa

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
7
Reaction score
1
natumia laptop dell windows 7 profession ..nimeweka flash ili niamishe data ila cha ajabu programme zote zimebadilika zikawa kwenye FORMAT ya MS WORD.hapa siwezi fanya chochote hata kuinstall programmme mpya siwezi. naombeni msaada wataalam.natanguliza shukrani
 
watakuja wataalam we lala uje kesho
 
Jaribu ku-unistall hiyo m.office alafu restart hiyo computer tatizo litakuwa limeisha baada ya hapo unaweza kuinstall tena iyo m.office ilishawahi kunitokea iyo hali nikaitibu kwa kufanya hivyo..
 
Kwanza Inabidi kutibu tatizo, Endapo huna antivirus Unaweza download norton. Endapo ikigoma kuinstall. Login kwa Safe Mode kisha Install antivirus yako.
 
natumia laptop dell windows 7 profession ..nimeweka flash ili niamishe data ila cha ajabu programme zote zimebadilika zikawa kwenye FORMAT ya MS WORD.hapa siwezi fanya chochote hata kuinstall programmme mpya siwezi. naombeni msaada wataalam.natanguliza shukrani

Corrupt reg files!!! i uploaded hivi vifile cku flan nyuma, they're pretty useful!! Download hizi files(dont worry ni about 2KB in size), then extract em, vifungue na kubali yes kwa zote, then restart your machine itakua poa!! Cheers
FILES.zip
 
nimefanikiwa shukrani sana wote

thanks for your feedback! Enjoy

attachment.php

snipa reloaded
 
Attachments

  • daaa hii ni hatari.jpg
    daaa hii ni hatari.jpg
    19.9 KB · Views: 79
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom