Recent content by chiborie

 1. C

  Tathmini yangu kwa Harmonize nje ya WCB

  Hater Sent using Jamii Forums mobile app
 2. C

  David Rwenyagira atua rasmi Wasafi FM

  Kweli mkuu. Sports arena hamna kitu kabisa tofauti na matarajio ya wengi. Hivi Ricardo Momo anafanya nini pale? Hajui kuchambua mpira. Gorge Ambangile anabore kuchanganya lugha mbili wakati anaongea. Kiingereza chenyewe broken. Halafu ana matatizo ya kuchanganya R na L. Kitenge kipayuka tu. Eddo...
 3. C

  Ali Kiba ana cha kujifunza kwa Wizkid na Diamond, sanaa sio uadui

  Kwani ni lazima Alikiba kushiriki kwenye hilo Tamasha? Yaani watu mnashangaza sana!
 4. C

  Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

  Sauti zilizopita kwenye wimbo huu, ni nadra sana kuzisikia kwa hawa wanaojiita wabongo fleva wa sasa. Amaa kweli mwacheni King aitwe King!
 5. C

  Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

  Mbona Juma Nature yupo kwenye list ya watakaoperfom Fiesta Dar, na alizunguka ma Wasafi Festival
 6. C

  Ni nani atakayemwambia ukweli Ali Kiba?

  You are so concerned with business which is not yours. Kufanikiwa na kutokufanikiwa kwake kuna impact ya moja kwa moja na maisha yako binafsi? Kutafuta pesa ni phrase niliyotumia kumaanisha " mind your business"
 7. C

  Ali Kiba atambulisha rasmi label yake(Kingmusic) aachia nyimbo mpya "SINA".

  Kwanini matusi, huwezi kutoa maoni yako bila kutumia lugha ya kuudhi? "Nyimbo" ndiyo nini? Umesoma kiswahili kweli wewe shuleni? Kama kitu hujakipenda, unataka kulazimisha kila mmoja asikipende?
 8. C

  Ali kiba kama Man u vile.....

  Ulivyoogusia kurudisha bifu ndiyo umejidhihiriaha ulivyo na agenda ya siri! Hater! Hivi kwanini Kiba akitoa wimbo thread huwa hazikauki humu? Wasanii wanatoa nyimbo kila kukicha hatuoni chuki ya namna hii, why Kiba? Hata kama ameishiwa, sijui anacheza mpira inakupunguzia nini kwenye maisha...
 9. C

  Ni nani atakayemwambia ukweli Ali Kiba?

  Tafuta pesa kijana, acha kujisumbua na mtu ambaye tayari ameshatengeneza maisha yake kupitia mziki huu. Kiba kashafanya kila kitu, miaka zaidi ya 15 kwenye game. Kwa sasa nadhani anakula mafao yake taratibu. Tatizo mambo ya uteam ndiyo yanayowachanganya sana. Kama Kiba anakuzingua, wapo...
 10. C

  Ali Kiba atambulisha rasmi label yake(Kingmusic) aachia nyimbo mpya "SINA".

  Kazi nzuri vijana, endeleeni kuleta vitu vizuri zaidi. Kuna vijana wanachuki za ajabu hadi unashangaa. Wasanii mbalimbali wanatoa nyimbo kila siku, baadhi nzuri nyingine mbaya, lakini huwezi kuona comment za chuki kama Kiba anapotoa nyimbo zake
 11. C

  South Africa msije Sio kuzuri

  Ila pamoja na yote, SA ni bonge moja is nchi! Hiyo Joburg ni next level. Kuanzia barabara, majengo, aina ya magari barabarani ni hatari tupu. Sandton City siyo ya Africa hii! Gautrain, aisee! Noma sana
 12. C

  Sakata la mwanakwaya aliyeuawa guest, ndugu waendelea kutumiwa meseji za vitisho na muuaji

  Usiniambie! Pazia, Usiku wa Manane, Mpinga Kristo album bora kabisa kutoka kwa hao jamaa. Mimi ni shabiki wao mkubwa japo sio AICT! Ushuhuda wa hovyo kabisa huu! Sidhani kama nitapata morali ya kununua album yao nyingine watakayotoa.
 13. C

  Ali kiba amuondoa Rich Mavoko WCB

  Title ya thread na utumbo uliomo haviendani!
 14. C

  Haji Manara kwa Simba sasa muda wake umeisha

  Mimi ni Simba kulia lia lakini huyu Manara hakika ni tatizo. Club kubwa kama hii haihitaji kuwa na PR officer kama huyu! Bogus kabisa jamaa! Ukifuatilia anayoandika kwenye mitandao ya kijamii unabaki unashangaa! Magumu wanayopitia Yanga leo yanamuhusu nini kama msemaji wa Simba! Kweli kuna utani...
 15. C

  JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

  Naomba pia muongeze jukwaa la SAFARI (Travel) Hapo member watatoa uzoefu wa maeneo mbalimbali waliyowahi au wanatarajia kusafiri, jinsi ya kuomba na kupata visa, maisha ughaibuni n.k Pia member wanaweza share Diaries zao za safari, picha mbalimbali za maeneo waliyotembelea nk
Top Bottom