Recent content by chibiliti

  1. C

    JamiiForums Tanzania Bvm kwa diploma holders&mkopo

    Habar wakuu naomba kufahamishwa juu ya uwezekano wa mtu aliyechaguliwa Bvm kwa matokeo ya diploma anaweza pata mkopo?mm nimechaguliwa kozi hiyo na wazazi wangu hawawezi kunisomesha private so nataka kujua kama hapati niachane nayo ndoto ya kusoma degree.tafadhali naomba mnaofaham haya mambo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wale wa Sua tufahamiane humu

    binafsi nitakutafuta kaka.
  3. C

    JamiiForums Tanzania kwa yeyote ambaye ambaye hajajua chuo gn kapangiwa ingia hapa

    yangu hii mkuu S0889/0077/2007
  4. C

    JamiiForums Tanzania TCU selections are OUT!!

    yap airtel, kwa sababu ndio mtandao ambao kupitia huo pekee unaweza kufanya hayo au labda kama una current information kuwa unaweza kutumia mtandao wowote kufanya zoezi hilo tafadhali nijuze.
  5. C

    JamiiForums Tanzania TCU selections are OUT!!

    Habar wakuu naomba kufahamishwa steps za kuangalia majina ya waliochaguliwa na tcu kwa kutumia simu na pia kama kuna tofauti ya steps kati ya form six na wale diploma holders.namba kujuzwa plz.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wahitimu vyuo vya mifugo wasota miaka miwili

    subra yahitajika zaidi, kwa kuwa serikali ilishaahidi kuajiri 2500
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mifugo......!!!!

    Hivi wakuu zile nafasi za kazi zilizotangazwa na wizara ya mifugo tangu tar 22 july 2013 wame shortlist tayar? Au bado mwenye taarifa plz.
  8. C

    JamiiForums Tanzania wizara ya mifugo vipi?.....

    Habar wakuu hivi hii wizara ya mifugo ina mpango gani juu ya kuwaajiri maafisa ugani ambao wamehitimu yapata mwaka na miezi 2 hivi sasa au ndo hawaajiri kabisa mwaka huu naomba mwenye tips from authentic soursce juu ya lini serikali kupitia wzr hii itaajiri?.... mtaani kusha chosha ukizingztia...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    mchuzi wa pweza tu hapo hata lisaa lizima.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hata diploma nao?

    shukran mkuu kwa kuniamsha.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Baba mmoja au mama mmoja?

    Ni kweli mkuu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Baba mmoja au mama mmoja?

    yaah mm na mdogo wangu tume share baba na watoto wawili wa mama mwingine lakini mapenzi baina yetu hayapo kana baba yetu sio mmoja kila na ndg yake.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hata diploma nao?

    Habar wakuu hivi hili swala la second round la tcu ni kwa form six applicants tu au hata wale walio apply kama diploma holder inawahusu naomba kueleweshwa.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Baba mmoja au mama mmoja?

    Habar wana jukwaa ,kuna jambo binafsi natamani kulifaham ki uhalisia wake Hivi ni kweli kuwa watoto wa mama mmoja wanapendana zaidi kuliko wa baba mmoja mama tofauti?., naomba kuwasilisha.
Back
Top Bottom