wale wa bvm mkifika mnitafute... !! ni wape mbinu za kusoma...maana shule yetu si ya kitoto...
binafsi nitakutafuta kaka.
wale wa bvm mkifika mnitafute... !! ni wape mbinu za kusoma...maana shule yetu si ya kitoto...
samahan kaka,nami nipo course hiyo,je unajuaje kama upo main campus au mazimbu?
Niulize wadau joining instruction imetoka?