Recent content by chibi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    Yap nimepata na nitaleta mrejesho mkuu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    Duu Gari gani hiyo mkuu ya ml 3 au body
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    OK poa nitapita pita jtatu Nashukuru chief
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    Nashukuru kwa ushauri
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    Ybr ni ndio aina gani hiyo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    Hizo hapana nataka Japanese technology
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    Sifa ya hizo click mkuu sizifaham Labda durability yake, fuel consumption, na upatikanaji wa spare na Labda kwa Dsm nitazipata maeneo gani
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    Nataka mpya mkuu...Ila hiyo naked au dirty sio mjuzi wa vitu hivyo mkuu maana yake sijui
  9. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    Habari wanajukwaa naomba kufaham pikipiki nzuri mpya kwa matumizi binafsi ya kwenda ofisini na mizunguko ya kawaida weekend. Hasa pkpk za kijapan ambazo nadhani ni durable bajeti yangu ni 3.2-3.5 million. Karibuni kwa mani yenu.
  10. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya minazi inauzwa

    Delivery ipo nipo buza
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft ulimtoa machozi babu

    Mkuu hivi ulishajaribu kucheza dalmax checker na ukaweka difficult 100% kama bado hebu jaribu kisha utajitathimini
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mafundi kompyuta (software and hardware)

    Nataka touchpad ya hp folio 9470 vp naweza pata na Sh ngapi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa laptop (Hardware na software )

    Poa chief
  14. C

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa laptop (Hardware na software )

    Habarini wakuu Naomba kujua fundi mzuri na wa kuaminika wa PC Kwa Dsm upande wa hardware na software hasa maeneo Tandika au Temeke ikishindikana maeneo Hayo basi kokote ndani ya Dsm Nawasilisha
Back
Top Bottom