Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.
Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.
Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Mkuu, pole kwa changamoto..
Ishu ya madeni kwenye biashara hasa Glocery ni tatizo kwa wengi wanaofanya biashara hiyo.
Kwa maoni yangu tatizo linaanza pale mahusiano/mazoea na wateja yakivuka mipaka, wengi watagugeuka wakishakopa watakukimbia na utakula hasara.
Cha kufanya ni kuzuia kukopa...
Huyo daktari pengine ameshawasaidia wengi kabla ya hili kutokea, na pengine wengi tayari wanamheshimu..
Kuna vitu tunasahau, daktari huyu aliletewa majibu na pathologist na pengine alipohusianisha na dalili za mgonjwa akaona ndio tatizo alilonalo.
Kesho keshokutwa hatuombei, ukiumwa utatibiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.