Recent content by chetejr

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Vipi kada zinazo deals na Mafuta na Gas kama TPDC/ EWURA/PURA/PBPz Mishahara na marupurupu zinafanana hawa au
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kuota mambo ya shule ni nini tafsiri yake?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. C

    JamiiForums Tanzania Je taasisi za PURA, OCRI ,TAEC na Tutor II zinalipa vizuri

    Sawa sawa asante sana
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je taasisi za PURA, OCRI ,TAEC na Tutor II zinalipa vizuri

    sawa sawa mkuu..! shida qualification za Tawiri za uko tu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Je taasisi za PURA, OCRI ,TAEC na Tutor II zinalipa vizuri

    [emoji120][emoji120][emoji120]sahihi mkuu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je taasisi za PURA, OCRI ,TAEC na Tutor II zinalipa vizuri

    hahahahaha ajira ndio mwanzo wa njia ya utajiri lkn..? unatafuta mtaji wa kutoka kupitia ajira hizi hizi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna maslahi zaidi ya mapato?

    Msaada wana jamii ni wapi kuna maslahi mazuri ya malipo/kipato (mishahara na posho) kwa ngazi ya degree taasisi za serikali hizi 1. PURA.....As geophysics 2. Ocean road Hosp......as medical physicist 3. TAEC .......as radiation safet inspector 4. Government college ...... as tutor
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je taasisi za PURA, OCRI ,TAEC na Tutor II zinalipa vizuri

    Masaa wana jamii ni wapi kuna maslahi mazuri ya malipo/kipoato (mishahara na posho) kwa ngazi ya degree taasisi za serikali hizi 1.PURA.....As geophysics 2.Ocean road Hosp......as medical physicist 3.TAEC .......as radiation safet inspector 4. Government college ...... as tutor
Back
Top Bottom