Mimi nafikiri wanachadema wanaomsifia Tundu Lisu kwa nyimbo, mapambio na mashairi, na kupinga mikakati ya raisi JPM ya kuua tabia ya kutegemea misaada toka nje, wanahitaji kusoma historia ya wazungu jinsi walivyokuja Africa miaka iliyopita walivyowatenda babu zetu nk.
Wanachadema wakasome...
Aliekuambia nawashwa na pilipili ni nani??
Acha mihemko jibu hoja. Kunitukana mm nguchiro siyo hoja kwenye uzi huu. Ila ukiendelea na matusi utakipata unachokitafuta.
Siishi Ubelgiji mimi na wala sijui kama kuna mazumbukuku wanaioshi huko au la. Labda umuulize Tundu Lisu akufahamishe kama huko pia kuna mazumbukuku au la.
Sijawalazimisha.
Kama ulisoma vizuri post yangu iliyojibu hoja yako, ilikuwa na alama ya kuuliza.
Nitakubaliana na wewe kuwa Lissu ni genius na wise person, endapo ataachana na issue za Tanzania ilihali bado yupo ubelgiji.
Pia nitakubaliana na wewe endapo wabelgiji watampa kazi yoyote ya...
Nitafurahi sana kuona hiyo sheria itakayopitishwa kuanzia tarehe 10 December itapigania haki za binadamu na kuondoa utawala wa kidikteta duniani kwa kuruhusu maandamano yanayopinga lockdown UK yaendelee bila kuzuiliwa na police au kukamata waandamaji. Na pia sheria hiyo kuruhusu vyombo vya...
Halafu wengine wanathubutu kusema ooh Tanzania hakuna uhuru wa vyombo vya habari, ooh Tanzania hakuna demokrasia na haki za binadamu, mara ooh JPM dikteta!!
Jiulizeni hayo maandamano ya London yanayopinga mambo ya lockdown na migogoro ya wanasayansi inayohoji kuhusu uvaaji wa barakoa, mbona...
Ndugu, sijui uko upande gani wa dunia. Hivi unakumbuka BBC na radio za huko ulaya zimekua zikitangaza kuwa watu weusi na wahindi ndio waathirika wakubwa wa corona??
Watu wengi wa ulaya na marekani wanaonekana kugoma kuchomwa hiyo sindano sasa wanataka kushawishi serikali za nchi za Africa kukubaliana nao kuhamasisha hiyo vaccine. Shenzi sana
Kwani, kulikua na makubaliano yaliyofanyika kati ya mtoaji na mpokeaji wa £million 27 kuwa ukipokea mzigo wa pesa lazima uchukue na kuchoma watu chanjo ya covid-19?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.