Recent content by cherylsweet

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka kumchukua mtoto kwa nguvu, nifanyeje?

    Asante ndugu, hayajakukuta mshukuru Mungu
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka kumchukua mtoto kwa nguvu, nifanyeje?

    Asanteni wote kwa ushauri wote. Mbalamwezi inawezekana ana sababu zake lakini kwangu mimi naona sababu zake hazina mashiko, kwa maana tulikuwa tumekubaliana kuwa mtoto akifunga shule atakaa two weeks kwangu na two weeks kwake, ila juzi alianza kuniambia ya kuwa anataka kuwa na mimi mana...
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka kumchukua mtoto kwa nguvu, nifanyeje?

    Habari zenu wadau, Nina jambo nahitaji ushauri tafadhali. Nina mtoto wa miaka 5 lakini hatukubahatika kuoana na baba mtoto, tabia zilinishinda kila mtu akaenda njia yake. kwa kipindi ambacho tumeachana yeye akaoa mwaka juzi lakini baada ya kuoa akaanza kutaka niwe mchepuko wake nikamtoa baru...
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

    Kwangu ni fantasy jamani, yaani ninapata picha ninavyomkiss, nanyonya her boobs and down below and vice versa. Am still fantasising.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

    Hee hii topic ilinipitaje. My fantasy ni kufanya mapenzi na mwanamke mwenzangu.lol weird huh
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namwambiaje Nampenda?

    hahahahaaa wananchi acheni fujo jamani. naweza kuwa na miaka hata 40 lakini sijui kutongoza mwanaume mie hutongozwa tu. nahitaji maujuzi jamani hee. Halafu wewe Tyta (sijui kumention i hope utasikia), hizo sio story, ni issue za ukweli zote mbili na muhusika ni mimi. baada ya jamaa wa kwanza...
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namwambiaje Nampenda?

    Wandugu wazimaa? Nina jambo lanitatiza. Tumesoma wote kidato cha kwanza na cha pili. Alikuwa akinipenda lakini hakuweza kuniambia nilikuwa nikiambiwa na rafiki zake. Nilihama ile shule kwahiyo hatujawahi kuonana since then, ni miaka 21 imepita sasa. Tumekutana miezi miwili iliyopita na...
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu nielezeni labda mie mshamba

    huwezi amini but simu anawapa namba rafiki zake wa mobile networks wacheck call details. na nyendo zangu huwa ananiambia leo umepita hapa hapa pale umesimama na huyu kuongea na huyu..how do i manage that hebu nambie? hatuonani wala kukutana ni kwenye simu tu tunaongea
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu nielezeni labda mie mshamba

    basi we sema ukweli
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu nielezeni labda mie mshamba

    sijajiona mjanja. simuelewi anachotaka. kwani amefikia hatua ya kunifwatilia nyendo zangu hadi kuchunguza simu zangu nawasiliana na nani. nami nimemwambia siwezi kuwa nae mpaka atakapoufanya maamuzi
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu nielezeni labda mie mshamba

    tumeongea sana. ila tatizo alishajitambulisha kwa wazazi wa mwanamke na kuahidi kwenda kutoa mahari. na mwanamke ametishia kujiua mara tatu kila akimwambia anamuacha, na mbaya zaidi mwanamke kahamia kwa jamaa.
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu nielezeni labda mie mshamba

    tuliachana kwa mwaka na nusu.
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu nielezeni labda mie mshamba

    sijajisifia nimesema hivi "anasema ananipenda"
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu nielezeni labda mie mshamba

    Kwanza shikamooni/marahabaa Mie ndo mara ya kwanza kupost mada humu jamvini, yamenikuta. Kuna kijana nampenda mnooo na yeye anajua hilo, hapo mwanzo tulikuwa wapenzi lakini kwa sababu zisizozuilika tukaachana tukaja onana tena miezi miwili imepita anasema ananipenda bado lakini ana mtu ambaye...
  15. C

    JamiiForums Tanzania RE: Hii

    Hi Good people. I am new to post in this forum but have been reading for the past 3 years. I JUST LOOVE JAMII FORUMS. BIG UP GUYS.
Back
Top Bottom