Jamani tuelewesheni vizuri sie wengine wagumu kuelewa, yani mama yake mzazi kauwawa kwenye tukio hilo ambae muuwaji ni mume wake, tunajua ufosaro mtangazaji yupo hosptali, je na huyo baba mfanya kazi wa UN nae alijiuwa? au amekamatwa??
Ifiki wakati serikali itazame maisha ya watanzania, kwani laki nane mbona nimtaji kabisa! TRA labda ingefanya mpango wa kuwapa bure mbona manufa ya mashine hizo ni kwao wenyewe TRA?
Pole sana kijana! hiyo ni dalili nzuri ya ukombozi, mara nyingi ukiona damu inamwagika hivyo ni ishara nzuri ya ukombozi wa taifa hili, mungu atakuponya mdogo wangu.
Kweli huyu mh komba aliongea hivyo, ila 2msamehe alikuwa kashiba na kausingizi kalikuwa kamempitia km kawaida yake, hivyo wakati wakuchangia alikurupuka 2 bora angeomba maji anawe uso kwanza ajue nn kinaendelea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.